Ok ok okay naona Best International Act Africa ameshatajwa toka jana, here are my thoughts on BET.
BET naona wameprove kuwa label za nje haziwezi kusimamia muziki wa Africa. Kwa mara ya pili...
Suge Knight anamshtaki mwanamuzki mwenza wa R& B Chris Brown mahakamani pamoja na mmiliki wa kilabu moja ya usiku nchini Marekani kufuatia ufyatulianaji wa risasi uliotokea katika kilabu hiyo...
Kampuni ya Mawasiliano nchini Vodacom Tanzania imeingia ushirikiano wa kibiashara na mtangazaji Millard Ayo. Millard na Vodacom wameingia makubaliano hayo mapema mwezi Juni mwaka huu na jana...
Mbongo movie anayewakilisha vyema kwenye sanaa na mahusiano na anayemalizia kuandika kitabu chake kipya kinachoitwa AINA ZA WANAUME NA TABIA ZAO huenda akaolewa tena mwishoni mwa ramadhani lakini...
Tusubiri kuiona na kuisikia nyimbo tuliyokuwa tukiisubiri kwa Takribani mwaka Mmoja sasa! Ni ile collabo ya Diamond aliyowashirikisha akina Psquare leo inaachiwa! Na yeye anasema kwenye kucheza...
Jana kwenye clouds tv wametoa majina kumi ya wasanii wenye mafanikio Bongo kwenye muziki na filamu. Majina ni kama ifuatavyo.
1. Mzee Yusuf
2. Lady Jay dee
3. Kanumba
4...
Baada ya kituo cha redio cha Swahili fm kurusha matangazo yake ya majaribio na kuonesha mafanikio ya hali ya juu,yaani kuweza kusikika kwa usikivu mzuri mpaka maeneo ya Pretoria na Cairo wakati...
Wahabari,Msanii Dogo Janja kwenye ngoma yake ya "my life" kuna mstari anaimba "Msomi Nikki wa Pili mii niliachaga Makongo".Wanajukwaa naomba kujua kisomo(fani aliyojikita ) cha Nikki wa Pili...
Habari zenu wakuu.
Wasanii wa Bongo wenye account za Instagram ambazo ziko verified wameongezeka kutoka watano (5) hadi wanane (8).
Wasanii hao na followers wao kwenye mabano ni...
Young D amekuja tena. Track yake ya "Hands Up" imetambulishwa jana mwisho wa mwezi (30 June).
Mistari yake ipo kawaida kwa mtazamo wangu, huwezi fananisha na track kama Kijukuu.
Ila kwakua kasema...
Msanii mdogo mwenye mafanikio makubwa aliyoyapata ndani ya muda mchache amekanusha habari zinazosambazwa na watu wasiompenda kwamba amekamatwa na poliisi. Akitolea maelezo suala hilo kutoka kwenye...
Mr. Blue amesema kuwa yeye ndio aligundua kipaji cha Ali Kiba na kuamua kumpeleka studio. Pia ameongeza na kusema kuwa alikuwa anavuta sana bangi ndio sababu kubwa iliyomfanya ashuke kimuziki...
Staa wa filamu Bongo, Wema Sepetu amefungukia ugomvi ambao hutokea mara kwa mara na shosti wake ambaye pia ni muigizaji, Aunt Ezekiel usiingiliwe na mtu kwani wanapogombana tofauti zao...
Kuna dada mmoja nadhani ni video queen alikuwa akihojiwa na TBway leo katika kipindi cha 5Select cha East Africa ana macho flani hivi amazing, yaani soooooo sexy,those sleepy eyes of hers make her...
Afande Sele
Msanii wa muziki na mwanasiasa kutoka mji kasoro bahari, Afande Sele amefunguka na kusema kuwa kwa sasa yeye hatarajii kuoa kwani bado yupo yupo sana ingawa anakiri wazi kuwa yupo na...
Young Dee amekanusha tena uvumi ulioenea mitandaoni kuwa anajihusisha na matumizi ya dawa za kulevya.
Akiongea kwenye kipindi cha Harakati cha Clouds FM kinachoendeshwa na Kalapina, rapper huyo...
IFUATAYO NI ORODHA YA WASHINDI KWENYE KILA KIPENGERE AMBACHOKILIKUWA KIKIGOMBANIWA
Best Female R&B/Pop Artist
Beyonce (WINNER)
Adele
Andra Day
K. Michelle
Rihanna
Best Male R&B/Pop...