Le Baharia amuonya Diva Loveness

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
May 25, 2015
6,619
21,363
Baada ya kituo cha redio cha Swahili fm kurusha matangazo yake ya majaribio na kuonesha mafanikio ya hali ya juu,yaani kuweza kusikika kwa usikivu mzuri mpaka maeneo ya Pretoria na Cairo wakati kilikuwa na mpango wa kusikika Morogoro pekee, atakayekuwa mtangazaji mpya wa kipindi cha mapenzi kutoka swahili fm ndg Lemutuz ametoa onyo kali kwa mtangazaji mwenzie wa show za usiku kutoka upande wa pili kuwa ajiandae kwa upinzani wa kiwango cha lami toka kwa gwiji ilo la mitandao.
newtab.html


Tulipomtafuta kutoa ufafanuzi wa suala hili alithibitisha "Yeah ni kweli mamen si unajua sasa napanua mitandao yangu,si unajua kihalisia mapenzi hayakuzaliwa Tanga bali yalizaliwa Mtera,yeah Le kipindizz litakuwa na wagen wa kila aina kuanzia Le supa mtindizz wenye ngozi laini kama cotton,super mogulzz and super billionez mpaka my super friend Makonda"

Kabla ya kupata nafasi hiyo bodi ya redio hiyo ilimshauri Le Baharia atangaze kipindi cha watoto cha saa nne asubuhi jmosi kutokana na uwezo wake wa kujichanganya na rika tofautitofauti kabla ya kufikia muafaka wa kubali kutangaza kipindi cha mapenzi.
Baba huyo wa watoto wawili anakuwa moja ya watu wachache sana duniani wa umri wake kuhost show kama hizo .
 
Yote tisa la 10 Nampa Salute Le mutuz jamaa kwa kutengeza ajira ukiacha hiyo Radioa ambae yeye ni shareholder, yeye kama yeye kwenye ofisi yake ana staff 2 au 3 hongera kaka, mana wengi wetu tunamponda, kumdhalilisha ila hata Mahouse girl tulokuwa nao hatujawapa mshahara tangu last mass, Kula 5 Le Mutuz, kiufupi ametuacha mbali mana sisi tunapoteza muda wa kumuongelea wakati yeye yuko buzy kutengeza pesa.. LE SUPER FORMULA YA KUTENGEZA MAISHA, I LUV YOU LEMUTUZ, LE SUPER STAR OF ALL COCIAL MEDIA! YOU KNOW KILA NIKIJA KWENYE PAGE YAKO YA IG NAJIFUNZA JAMBO.
 
Back
Top Bottom