Mr. Blue: Mimi Ndio nilimtoa Alikiba, Bangi ilisababisha nidrop kimuziki


OGTV

OGTV

JF-Expert Member
Joined
May 22, 2016
Messages
315
Likes
139
Points
60
OGTV

OGTV

JF-Expert Member
Joined May 22, 2016
315 139 60
Mr. Blue amesema kuwa yeye ndio aligundua kipaji cha Ali Kiba na kuamua kumpeleka studio. Pia ameongeza na kusema kuwa alikuwa anavuta sana bangi ndio sababu kubwa iliyomfanya ashuke kimuziki.
DIAMOND PLATINUMZ AT BET AWARDS 2016
 
lil wayne

lil wayne

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2016
Messages
995
Likes
870
Points
180
Age
118
lil wayne

lil wayne

JF-Expert Member
Joined Apr 15, 2016
995 870 180
Duh! Kila mtu anataka bifu na AliKiba.
 
mzurimie

mzurimie

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2011
Messages
6,150
Likes
1,619
Points
280
mzurimie

mzurimie

JF-Expert Member
Joined Oct 16, 2011
6,150 1,619 280
Mr. Blue amesema kuwa yeye ndio aligundua kipaji cha alikiba na kuamua kumpeleka studio hivi yeye ndio aliyemtoa alikiba. pia ameongeza na kusema kuwa alikua anavuta sana bangi ndio sababu kubwa iliyomfanya ashuke kimuziki.
DIAMOND PLATINUMZ AT BET AWARDS 2016
Diamomd Platnumz ndio baba lao, hakunaga kama yeye. Itakuwa vizuri pia kuona wengine wanafikia au hata kuzidi, alipofika na anapozidi kwenda kwa baraka za Mungu.

Love mingi kwa Diamond jamani, inabidi nionane na huyu kaka maana naanza kukosa usingizi kila nikimuwaza mume wa Zari, anipe hug tu itanitosheleza kujisikia raha kama mshabiki wake na mpenda maendeleo mie mtoto wa kike.
 
kalagabaho

kalagabaho

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2010
Messages
4,726
Likes
2,760
Points
280
kalagabaho

kalagabaho

JF-Expert Member
Joined Nov 4, 2010
4,726 2,760 280
Mr. Blue amesema kuwa yeye ndio aligundua kipaji cha alikiba na kuamua kumpeleka studio hivi yeye ndio aliyemtoa alikiba. pia ameongeza na kusema kuwa alikua anavuta sana bangi ndio sababu kubwa iliyomfanya ashuke kimuziki.
DIAMOND PLATINUMZ AT BET AWARDS 2016

Kiba mwenyewe anasema Dully ndio kamtoa...anasema dully alimsikia anaimba hom kwao akamchukua mpaka sound crafter temeke kurekodi...
 
juan moses

juan moses

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2014
Messages
2,421
Likes
2,172
Points
280
Age
26
juan moses

juan moses

JF-Expert Member
Joined Feb 16, 2014
2,421 2,172 280
Kiba mwenyewe anasema Dully ndio kamtoa...anasema dully alimsikia anaimba hom kwao akamchukua mpaka sound crafter temeke kurekodi...
Na Dully Anasema Alikua Hajui Kama AliKiba Anajua Kuimba Mpaka Alipomsikia Huko Kariakoo. Dully Anasema Alikua Anajua Kuwa AliKiba Ni Mcheza Soka Tu Hatari Mitaa Ya Huko Kwao Kariakoo Na Sio Muimbaji.
 
Victor wa happy

Victor wa happy

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2013
Messages
9,980
Likes
7,565
Points
280
Age
31
Victor wa happy

Victor wa happy

JF-Expert Member
Joined Apr 24, 2013
9,980 7,565 280
Bangi haipo ivo labda Kama unavuta ili ujionyeshe kuwa umevuta au unavuta choon
 
Machozi ya Simba

Machozi ya Simba

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Messages
2,394
Likes
1,186
Points
280
Machozi ya Simba

Machozi ya Simba

JF-Expert Member
Joined Feb 23, 2012
2,394 1,186 280
Bangi, pombe, madawa na starehe zote ndio wasanii huzungumzia pindi waulizwapo sababu za kushuka kisanii..
Hivi vitu sioni kama kuna haja ya kuvipa lawama..unvyovitumia hakuna mtu anakutishia maisha yako kwamba ni lazima utumie...ni naamuzi ya mtu binafsi..uchafu wa mwilini mwako tafuta sabuni oga utakate
 
Jambazi

Jambazi

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2014
Messages
16,253
Likes
15,359
Points
280
Jambazi

Jambazi

JF-Expert Member
Joined Jan 18, 2014
16,253 15,359 280
Yaani blue tangia alipo tafuta kiki kupitia nguli Sungu huyu jamaa nilimtoa maanani kabisa!
 
data

data

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2011
Messages
18,742
Likes
8,846
Points
280
data

data

JF-Expert Member
Joined Apr 9, 2011
18,742 8,846 280
Huyu dogo anavurugwa sasa..... What's that for!??
 
screpa

screpa

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2015
Messages
7,100
Likes
9,315
Points
280
screpa

screpa

JF-Expert Member
Joined Sep 10, 2015
7,100 9,315 280
Ukimuangalia vizuri utagundua bado bangi ipo kichwani
 
jozzeva

jozzeva

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2012
Messages
1,741
Likes
1,130
Points
280
jozzeva

jozzeva

JF-Expert Member
Joined Oct 27, 2012
1,741 1,130 280
bangi nibangue niweze vuka maji ya shingo bila mbupu kurowa,lipua
 

Forum statistics

Threads 1,237,560
Members 475,562
Posts 29,293,676