finalverdict
Member
- Jun 26, 2016
- 12
- 13
Ok ok okay naona Best International Act Africa ameshatajwa toka jana, here are my thoughts on BET.
BET naona wameprove kuwa label za nje haziwezi kusimamia muziki wa Africa. Kwa mara ya pili mfululizo anashinda mtu asiyestahili, mwaka jana Stanbwoy wa Ghana aliwashinda Wizkid na Fally Ipupa ambao ndio waliostahili kupata hiyo tuzo.
Mwaka huu pia naona wamemtambulisha tena mtu asiyefahamika Afrika kwa waafrika na kupelekea wabongo ambao ni team Wizkid wamsaliti boss wao na kuwa team kahawa. Mwenendo huu unaonesha kabisa kuwa BET hawaujui muziki wa Afrika hata kidogo kwani huyo blackcoffee anatamba Africa kusini pekee, lakini pia licha ya kwamba anatamba SA tu, hata huko bado hana uwezo wa kuwafunika AKA na Casper.
Wasauzi wengi walipeleka kura kwa Casper na AKA hivyo BET nadhani ni watenda miujiza kwa kweli. Mwanzo nilimuona Wizkid anazingua na angeweza kuharibu harakati za kuingia katika soko la Marekani kisa hajaenda BET ila sasa nimepata jibu. BET ni platform ya kuwasaidia wasanii chipukizi kujulikana katika international market hivyo ni wakati sahihi kwa wasanii wakubwa wa Afrika kutohudhuria tena BET kama WizKid.
Mshindi wa mwisho wa BET ambaye alistahili ni Davido basiii wengine hamna kitu na ndio maana hata sasa wengi wenu hamumjui Stonebwoy na hata huyu coffee Olomide baada ya hekaheka za BET hamtamsikia teeeena.
Lakini pia ifike wakati mashabiki wa Diamond wawe na busara. Sio kisa Diamond kakosa basi ndio muanze kutukana watu mitandaoni, mnaharibu image ya Diamond lakini kikubwa zaidi image ya taifa. Watanzania tunaanza kuonekana wajinga kisa watu wachache, mbona wanaija hawatukani???