Suge Knight amshtaki Chris Brown

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,870
34,352
Suge Knight.jpg


Suge Knight anamshtaki mwanamuzki mwenza wa R& B Chris Brown mahakamani pamoja na mmiliki wa kilabu moja ya usiku nchini Marekani kufuatia ufyatulianaji wa risasi uliotokea katika kilabu hiyo mwaka 2014.
Mwanamuziki huyo wa zamani alipigwa risasi mara saba katika hafla ya Chris Brown.

Kesi hiyo iliowasilishwa katika mahakama ya Los Angeles inamshtaki Chris Brown na kilabu ya West Hollywood Ckub 1 Oak kwa kushindwa kuweka usalama wa kutosha na kumruhusu mtu mmoja aliyejihami kuingia katika kilabu hiyo.

Suge Knight alipigwa risasi tumboni,kifuani na mkono wa kushoto.
Kwa sasa Suge Knight anakabiliwa na kesi ya mauaji baada ya kumgonga mtu na kutoroka. Inadaiwa kile kilichotokea katika kisa hicho ndio sababu ya yeye kufanya vitendo kama hivyo.

Chris Brown.jpg


Alishtakiwa kwa kuwakanyaga watu wawili na kumuua mmoja huku mwengine akijeruhiwa vibaya.
Wakili wake anasema kuwa alikuwa akijaribu kuwatoroka washambuliaji .


chanzo.Suge Knight amshtaki Chris Brown - BBC Swahili
 
Teh teh teh...tough guy no more and being broke doesn't help either.

Gotta make that dough somehow someway and one of those ways is suing.

How the mighty have fallen!
 
Huyu jamaa naona akili zake sasa zinafanya kazi, hadi ameamua kumpeleka CB mahakamani si mchezo maana yeye mwenyewe ndio aliyekuwa akitoa hukumu endapo utamkosea
 
Utetezi wa kimbwiga sana...Umepigwa risasi kifuani na tumboni kisha unawakimbia waliokupiga unaenda kugonga watu njiani..
 
Mi mmeniacha hapo kwenye "mwanamuziki mwenza".Wataalam wa kiswahili kama hamtajali kunipatia muongozo, itakuwa poa sana.
 
I'm from Compton where made you motherf*** afraid of Suge. Aisee inakuaje Suge anaenda court tena? That's not gangsta. Vile street ina code...na code inasema hakuna kupeleka issue yoyote ya gang kwa cops/court. Suge mbabe wa zamani wamemmaliza.....beef kibao zimemjengea audui. Hapo kwa Criss anataka apate nini? Criss Brown atozwe fine/au itasaidia kupunguza mashtaka ya mauaji? Noma sana.....hii mambo. Upande wa pili naweza sema nigga like Suge Knight ndio wanafanya gangsta life iwe gangsta life. Kwafaida ya nani.....watu wote wamtaa wanaoishi nje ya mainstream society.
 
Back
Top Bottom