MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,619
- 21,363
Mbongo movie anayewakilisha vyema kwenye sanaa na mahusiano na anayemalizia kuandika kitabu chake kipya kinachoitwa AINA ZA WANAUME NA TABIA ZAO huenda akaolewa tena mwishoni mwa ramadhani lakini wakati huu mhusika akiwa ni mbunge wa UKAWA anayewakilisha moja ya majimbo ya kaskazini.
Habari kutoka ndani ya nyumba ya Wastara zinadai staa huyo amefikia hatua hiyo baada ya kushindwa kuvumilia kuwa singo,na hivyo kutulia kwa bingwa huyo wa maandamano.
Wastara ambaye amethibitisha kuchoshwa kabisa na CCM ambayo ameitumikia kwa miaka yote ya ujana wake ambapo ilimlipa kwa kumuwekea X nyumba zake mbili ambapo pia waliendelea zaidi kumtesa hata kwenye suala la mapenzi kupitia kada wake ndugu Sadifu.
Wastara anakuwa kada mwingine kutoka CCM ambaye atalazimika kutamka hadharani kuwa CCM siyo mama yake wala baba yake pindi atakapovishwa pete siku ya harusi hiyo.