Wasanii wa Bongo wenye verified accounts kwenye mtandao wa Instagram wameongezeka

samsun

JF-Expert Member
Feb 9, 2014
7,386
5,963
Habari zenu wakuu.

Wasanii wa Bongo wenye account za Instagram ambazo ziko verified wameongezeka kutoka watano (5) hadi wanane (8).

Wasanii hao na followers wao kwenye mabano ni;
  • DIAMOND PLATNUMZ (2.4m)
  • Vanessa Mdee (1.6m)
  • Ommy Dimpoz (1.3m)
  • Idrissa (1.2m)
  • Alikiba (1.2m)
  • Lady Jaydee (870k)
  • Flaviana Matata (524k) na
  • Barakah da Prince (344 k).
(Kumbuka: M=Milioni na K=Laki)
 
Nimekuja fasta nikidhani yule jamaa aliyekuwa akihamisha milion 8 kila dakika accaunt zake wamesha ziblock kumbe siyo!!
 
Nimekuja fasta nikidhani yule jamaa aliyekuwa akihamisha milion 8 kila dakika accaunt zake wamesha ziblock kumbe siyo!!
Hujakosea mkuu sasa hivi ukijaribu kuingia account zake unaambiwa huyu jamaa is not hewani.
 
Kigezo ni nini haswa? coz najua kuna wengi tu wana followers M na zaidi, ie Zari, Wema, Aunty n.k n.k....wakati huyo Baraka ana 300k tu.
 
kwa hio wakiutambua maana yake status yako ni kubwa au vipi?
06e03032e103f962c41d99d0e178f42b.jpg
c28d79ab8502a7c5209e5f041a66ad9a.jpg
natumaini hayo maelezo yatakusaidia kuelewa zaidi
 
Back
Top Bottom