Baada ya Lil Wayne kutangaza kuacha mziki wasanii wenzake wengi wahuzunika na kupingana na uamuzi huo , wengi wao walijaribu kumshawishi arudi tena kwenye game lakini suala hilo limegonga...
Nawasalimu kwa jina la hip hop
Nimekua nikifatilia muziki wa kughani yaani RAP MUSIC kwa muda mrefu. Huu ni muziki ambao una utamaduni wake tangu kale. Na una nguzo zake yaani zamani zilikua tano...
Ms Maria Seguar Metzgar mwenye umri wa miaka 105 inasemekana ndiye mtumiaji wa facebook mwenye umri mkubwa kuliko wote duniani
Ms Maria alisherehekea miaka 105 wiki moja iliyopita huku akiwa...
Habariniiii.....Siku za hivi karibuni msanii wa Hip hop laini toka kwa Weusi alitoa wimbo unaitwa Perfect Kombo alio mshirikisha Chidima wa Nigeria ni wimbo mzuriiiii sawa lakini vipiiii mbona...
Leo ndio uzinduzi wa Msimu wa kipindi cha Maisha Plus East Africa 2016
Kwa wale wadau na wapenzi wa kipindi hiki,tunaweza kukutana hapa kwa muda wa hizo wiki 8 ambazo washiriki watakuwa ndani ya...
Binti Brave Cassidy Hooper (17) anatarajiwa atolewe mfupa wa ubavu wake ili utumike kutengenezea paji la aq uso wake , mfupa huo pia utatumika kama kiunganishi cha pua yake mpya atakayo wekewa...
Mkali wa 'Singeli' Manfongo amesema muziki anaofanya umemkomboa kwani alikuwa 'mkabaji' siku za nyuma.
Naona kaamua kuchagua fungu jema kabla ya zile siku 40 za kuvishwa tairi na kupigwa na...
Mkurugenzi wa Mkubwa na Wanae Foundation pamoja na Yamoto Band, Mkubwa Fella amesema tayari ameshampata mtu sahihi ambaye atamwachia mikoba yake ya kusimamia wasanii pale atakapostaafu.
“Kusema...
Wakuu,
Kuna muda unafika maishani inabidi you make right decisions yani namkumbuka Mr Blue zile enzi namuelewa sana. Amepita na mademu wazuri wote Wema, Naj na hata nina uhakika Zari angekuwa...
picha yake imezua gumzo kaonekana mama k je mimba ya mbunge sadifa au walivyoachana alipata kiburudisho kingine ila dada kama kweli si una watoto wa3 sijui wa 4 kwa nini usingepumzika tu kuzaa...
Mkurugenzi wa Mawingu ameshaslimu, hii ni katika maandalizi ya ndoa kati yake na baby mother ambae ni mtangazaji wa kituo hicho. Chanzo cha habari hii ni waliohudhuria harusi ya Shamsa Ford jana.
Nakumbuka EATV waliwahi kumhoji Nature juu ya KR kuhamia UNYAMANI ...Nature alimsihi KR aangalie namna ya kukwepa kuingia kwenye mkumbo.
Japo Nature alikua yuko tungi lakini alitoa tahadhari ya...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza,ushahidi huu upo lwenye page ya mbea maarufu soudy brown huko instagram ambapo zaidi ya nusu ya wafuatiliake wake ni vidume mjini!Jamaa anakaribia kufikisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.