gambada ynwa
JF-Expert Member
- Nov 24, 2014
- 390
- 366
Nawasalimu kwa jina la hip hop
Nimekua nikifatilia muziki wa kughani yaani RAP MUSIC kwa muda mrefu. Huu ni muziki ambao una utamaduni wake tangu kale. Na una nguzo zake yaani zamani zilikua tano lakini zikaongezwa na sasa ziko nane
Nimekua nikimfatilia kwa ukaribu sana NASH MC na nimegundua kuwa huyu jamaa ni moja kati ya ma emcs wanaofata utamaduni wa HIP HOP yaani misingi na nguzo za muziki huu.
Pia ni mc ambaye hashoboki na medias uchwara kwani real hip hop is not in the media.
Asante NASH MC kwa kuendeleza harakati za kweli za muziki huu kwani kupitia wewe tutajifunza mengi. Sisi watu wa real HIP HOP tutakusapoti daima
Msikose kufatilia project yake mpya ya KINASA yaani KISWAHILI NA SANAA.
Keep on moving...holaaa NASH holaa TAMADUNI