brigedia mafia
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 2,264
- 2,275
Baada ya Lil Wayne kutangaza kuacha mziki wasanii wenzake wengi wahuzunika na kupingana na uamuzi huo , wengi wao walijaribu kumshawishi arudi tena kwenye game lakini suala hilo limegonga mwamba.