Sir Nature amtupia lawama TID juu ya KR

Mtanzanika

JF-Expert Member
Feb 27, 2012
2,389
1,131
ef6e8bd8ade6cc0478a20cd43b131ae1.jpg

Nakumbuka EATV waliwahi kumhoji Nature juu ya KR kuhamia UNYAMANI ...Nature alimsihi KR aangalie namna ya kukwepa kuingia kwenye mkumbo.
Japo Nature alikua yuko tungi lakini alitoa tahadhari ya busara kwa best yake.

Leo..amepost hiyo picha huko Insta.
 
Jamaa anatafuta verse hapo kabla hajaingia studio...... kila siku huwa nawaambia vijana shortcut is always a wrong cut, ukiimbia shule trust me at some point in your life lazima uje uregret
 
KR alikuwa Jembe sana....sana yaani...kama amefikia hatua hii ni msiba mkubwa.
KR Mullah, Jibaba Cd 700...Njo kichwa kichwa kula za uso vaba.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom