Mkubwa Fella kustaafu, kumwachia Temba Yamoto Band

chinchilla coat

JF-Expert Member
May 16, 2016
5,107
10,961

Mkurugenzi wa Mkubwa na Wanae Foundation pamoja na Yamoto Band, Mkubwa Fella amesema tayari ameshampata mtu sahihi ambaye atamwachia mikoba yake ya kusimamia wasanii pale atakapostaafu.
“Kusema kweli mtu ambaye nitamwachia kijiti ni Temba, tayari imeshamuandaa vya kutosha na bado naendelea, kwa hiyo Temba tayari anaelewa nini anatakiwa kufanya muda ukifika,” alisema Fella.

Kwa upande wa Temba amesema yupo tayari kupokea majukumu atayoachiwa na bossi wake huyo.

“Mimi nipo poa tu, tayari nimeshazungumza naye kuhusu ili swala na naamini kila kitu kitaenda sawa,” alisema Temba.

Pia Temba alisema hata kama akiwa kwenye jukumu la umeneja hataacha kufanya muziki kwa kuwa muziki ni sehemu ya maisha yake.
 
Kama kati ya wote waliomzunguka kaona Temba ndio afadhali basi, sasa atafanyeje?
 
Mkurugenzi wa Mkubwa na Wanae Foundation pamoja na Yamoto Band, Mkubwa Fella amesema tayari ameshampata mtu sahihi ambaye atamwachia mikoba yake ya kusimamia wasanii pale atakapostaafu.
“Kusema kweli mtu ambaye nitamwachia kijiti ni Temba, tayari imeshamuandaa vya kutosha na bado naendelea, kwa hiyo Temba tayari anaelewa nini anatakiwa kufanya muda ukifika,” alisema Fella.

Kwa upande wa Temba amesema yupo tayari kupokea majukumu atayoachiwa na bossi wake huyo.

“Mimi nipo poa tu, tayari nimeshazungumza naye kuhusu ili swala na naamini kila kitu kitaenda sawa,” alisema Temba.

Pia Temba alisema hata kama akiwa kwenye jukumu la umeneja hataacha kufanya muziki kwa kuwa muziki ni sehemu ya maisha yake.

HONGERENI SANA KWA KUWA NA SUCCESSION PLAN AMBAYO INAKUBALIKA. Mkubwa Fela simfahamu wala sijawahi kuonana naye ila ni kijana ambaye ana vision na discipiline. kwa watu wa aina hii hufanikiwa hata wakiuza mkaa
 
Jamaa yuko poa sana, anasemwa vibaya lakini hajibu shombo, ndio maturity hiyo, amabayo hata jamaa yetu hana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom