Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

  • Closed
Unawezaje kuunga mkono Uzushi na Kauli za Mtu kama huyu? Au ndo tuseme matatizo yenu yanafanana? Ni aibu sana.
3 Reactions
123 Replies
20K Views
Kumekuwa na bifu kati ya Man Fongo na mama wema mara baada ya man Fongo kudaiwa kuongea maneno mabaya kuhusu Wema wakiwa wanasafiri kwenda kwenye Fiesta na maneno hayo kutumwa kwa mama Wema na...
4 Reactions
33 Replies
10K Views
.............................................Wasalaaaaaaaaaaaaaaaaaam ............................................. Jamaaa anajua Mpaka anakera Aiseee, Tumpe Support ndugu yetu, Ingawa me Siju...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Msanii wa muziki, Shilole ameweka wazi jinsi alivyopata wakati mgumu kuicheza scenes ya mahaba katika video ya wimbo ‘Natafuta Kiki’ ya Raymond. Scenes hiyo inamuonyesha muimbaji huyo wakati...
4 Reactions
3 Replies
2K Views
Christian Bella ameungana na Mrisho Mpoto kwenye orodha ya wasanii waliopo kwenye playlist ya Rais Dkt John Pombe Magufuli. Akiongea kwenye kipindi cha Bongo Beatz cha Star TV, Bella alisema...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
East African rapper, Keko has revealed she could throw in the towel at South African Music label Sony soon. The rapper who made history by becoming the first Ugandan to sign a multi- album and...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Diamond Platnumz ametajwa kuwania vipengele vitano kwenye tuzo za mwaka huu za Afrima. Vipengele hivyo ni pamoja na Songwriter of The Year in Africa, Song of The Year in Africa, Artiste of The...
1 Reactions
41 Replies
5K Views
Huyu dada muimbaji wa muziki wa mwambao kweli ni ameumbika haswaaa. Sijui anafanya kazi na kundi gani kwa sasa Rangi yake ni ile ya watu wa mashariki ya mbali au wanaita rangi ya mtume. Nywele za...
0 Reactions
96 Replies
27K Views
Leo Akiwa South Africa Alikiba Amesign Sony Music ,Lebo hii ambayo inawasimamia akina Chris Brown,Davido na John Legend itakuwa na Kazi ya kutangaza video na Audio za Alikiba Kimataifa na Duniani...
9 Reactions
82 Replies
26K Views
Wasanii wa Nigeria wamekua wa kwanza kwenye stori kubwa au kuvunja rekodi kadhaa kwenye muziki wanaoufanya ambapo miongoni mwa rekodi walizozivunja ni pamoja na P Square kufanya kolabo na Rick...
0 Reactions
33 Replies
6K Views
wanasrmaga ukitaka kuongea kitu na watu wakuamini ongea kwa ushahidi na facts za ukweli, nisikuchoshe msomaji wa mada naenda direct kwenye kukujuza celebrities top 3 ya wasanii wenye pesa utitiri...
5 Reactions
92 Replies
20K Views
Wadau meneja anayejiita msujudiwa ma muziki huku sasa maisha yake yakitegemea kuishi kupitia Diamond amemterekezza Rapa mahili Chid benzi. Jamaa kwa mbwembwe alimpeleka sober house kisha. Baadaye...
1 Reactions
45 Replies
5K Views
Kwa mujibu wa Mrisho Mpoto, Harry Sameer, wamjua zaidi kama Mr Blue, anastahili kuwa msanii bora Tanzania. Mpoto alidiriki kusema hivyo baada ya kushuhudia show ya hitmaker huyo wa ‘Mboga Saba’...
0 Reactions
25 Replies
6K Views
Inakuwaje hii: Bofya hapa: Diamond Ft. French Montana - All The Way Up Remix [Snippet]
3 Reactions
47 Replies
15K Views
Christian Bella ameungana na Mrisho Mpoto kwenye orodha ya wasanii waliopo kwenye playlist ya Rais Dkt John Pombe Magufuli. Akiongea kwenye kipindi cha Bongo Beatz cha Star TV, Bella alisema Rais...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
======== Big booty are of different sizes, large and massive. Big ass is nothing new to Tanzanians. If these big booty photo collection doesn’t prove to you that Tanzanian girls have the...
3 Reactions
187 Replies
99K Views
Meneja Sallam anatarajia kufungua redio yake ya mtandaoni (online radio) itakayoitwa DSM Fm na Rommy Jones atakuwa ni miongoni mwa watangazaji katika redio hiyo
0 Reactions
9 Replies
2K Views
kwa alieangalia show ya raymond fiesta muleba nazani ameujua jinsi uwezo alionesha show nzuri kabisa ya live ameimba kuna watu wanamfananisha na harmoniz lakini wacha niseme hamo ana sauti za...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom