Diamond ft Neyo (Behind the Scene)

Jamaa ana bahati hiyo scene ya pili aliyeshuka kwenye hiyo gari mtu mweusi maana kuwaweka walinzi weusi alafu anatoka na kimwana cheupe ingenikera sana, wamezidi kuportray watoto weupe hawa jamaa as if success == white lady.

Kazi nzuri, Ne~Yo kachezeshwa ngoma za kiafrika, ukitoa shooting na Platnumz uko kwenye hatari ya kufunikwa vibaya sana kwenye sekta nzima ya dance.
 
Utasikia...
"Huyo sio mwanamuziki,huyo ni dansa"
 
Utasikia...
"Huyo sio mwanamuziki,huyo ni dansa"

Kuna watu wanamchukia jamaa hua siwaelewi, ila ni kawaida kwa waafrika sanasana kuonea wivu watu waliofanikiwa, hasa wale ambao walianza level moja ghafla moja akachomoka kwa kasi na kua sio group lao tena. Overall jamaa ni entertainer bora in East African history, amebadilisha sana game la muziki EA, alikua famous at the right moment social media zinakua, akatumia hiyo fursa vizuri.
 
Lkn kuna watu wanapinga ilo mkuu..
Yah huwa naona hako kaubishi ila mi mtizamo wangu umejikita kwenye uhalisia hasa ukiangalia alipoanzia bahati nzuri video zipo na hapa alipo amefanya mambo makubwa ambayo yote ukiangalia ni yametokana na bidii yake
Kwa hiyo kubisha itakuwa labda utoto flani.
 
Tatizo huyu jamaa anakurupuka kufanya nyimbo na wasanii wakubwa theni anafunikwa kabisa kwenye huo wimbo kiasi kwamba unaweza kudhani sio wake mfano ni kidogo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom