Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza hapo juu nikiwa katika shuguli zangu hapa mkoani rukwa wilaya ya sumbawanga nakutana na hii stori kwamba huyu gwiji wafiramu Tanzania marehemu stivin kanumba...
0 Reactions
8 Replies
7K Views
Nipo Tabora, nasumbuka muda mrefu sana na madonda ya tumbo, nimekunywa dawa kila kona herbal Clinic mpaka hospital lakini sijapata nafuu. Ombi langu naomba mnisaidie alie na namba ya Millard Ayo...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
DIAMOND - PESA, TUZO, MASHABIKI WENGI NA STAGE PERFOMANCE: halina ubishi hili hapa ni diamond platnumz, king of african pop ukipenda mwite simba, hakuna msanii anayeimba na kuvuta mkwanja mrefu...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
kuanzia miaka ya 2010 bongo muvi imezidi kupoteza mvuto kwa kasi ya ajabu...hii ni kutokana na ubora mbovu wa kazi zao...lakini kwa kipindi chote hiki media mbalimbali zimekuwa zikiwabeba...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Haya ni maneno ya binti aliyelala NA Usain Bolt Jady Duarte mrembo wa Kibrazili..... He played Rihanna Song Work.I Think He Likes To Listen To it When He Makes Love... He Has The Body Of...
10 Reactions
161 Replies
20K Views
Lina sanga ameanza safari yake ya muziki na kutambulika Tanzania tangu mwaka 2010 mwezi august alipotoa wimbo wake wa kwanza “Atatamani” na ulimfanya apendwe mithili ya twiga mwenye maringo na...
2 Reactions
43 Replies
8K Views
Markzuckerberg ala ugali na samaki Mimi ni nani nisile Ugali kwa samaki,
1 Reactions
24 Replies
7K Views
Malkia wa filamu Wema Sepetu amelikimbia jiji la Dar es salaam na kuamua kuanzisha makazi mapya mkoani Arusha kama alivyodai yeye mwenyewe. Mwigizaji huyo ambaye kwa sasa yupo mkoani Arusha...
1 Reactions
142 Replies
22K Views
yupo jijini Los Angeles, Marekani ambako tayari ameshoot video ya wimbo Marry You aliomshirikisha Ne-Yo, amekutana na mmoja wa mastaa maarufu sana Marekani. Amekutana na mchekeshaji na muigizaji...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Huyu bwana mdogo ni msanii mkubwa kabisa kibongo bongo na kiafrika but kitu kimoja tu ananiacha hoi ni vile kupenda kupiga picha na mastar wa mbele. Sijui anaonaga sifa? Mimi kwangu naona kama...
3 Reactions
55 Replies
6K Views
Huwa napenda sana kuangalia kipindi cha FNL pale EATV ..but huwa nakereka sana na makele anayopiga huyu dj wanamuita dj OMMY CRAZY.bqdala ya kuacha watu wasikikize wimbo ..yeye kutwa anapiga...
4 Reactions
23 Replies
4K Views
Watalamu wa lugha na imani mtakuwa pamoja na miye Jambo ambalo shilole analifanya kwa sasa inaonekana kama utani ila kwa mtu anayejifunza kingereza au aliyejifunza kingereza anaweza kuwa shahidi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Screenshots za Whatsapp zinazoonesha ushahidi kuwa Ali Kiba alilala na demu maarufu mjini Mombasa, Kenya anayejulikana kwa jina Rahima zinaendelea kusambaa katika mitandao ya kijamii. Demu huyo...
3 Reactions
64 Replies
20K Views
Namkumbuka Nurueli katika kibao chake cha awali sana cha Mng'aro wa silva. Ule wimbo hadi kesho ni classic. Nikamsikia tena katika wimbo wa kilio, akimlilia baba yake. Nikaja tena kumsikia akiwa...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Shilole alihojiwa kwa kiingreza na mtangazaji wa redio
3 Reactions
49 Replies
5K Views
Ali kiba ametoa wito kwa watanzania wamuombee ili aweze fanikiwa kupata nomination yke ya kwanza kwny tuzo za mtv mama 2016 hata kwenye kipengele cha msanii chipukizi kwani hajawahi pata bahati ya...
5 Reactions
38 Replies
5K Views
Hivi kuna wapenzi wengine wa Nyota Ndogo humu jamvini? Nampenda sana huyu mdada kutoka Mvita. Nampenda kuhusu mengi [ila msiniulize mengi yepi...jiongezeni wenyewe]. Anaonekana ni mdada...
4 Reactions
13 Replies
5K Views
Baada ya lile bifu la siku nyingi kati ya rapa kutoka mwanza Fareed kubanda a.k.a Fid Q na msanii mwenzake Rado kutoka lebel ya Kiraka Rado,hatimaye Fid Q amekiri kuwa Rado ni msanii pekee...
5 Reactions
33 Replies
16K Views
Kichupa kimetoka sema sina utaalamu wa kukifunga humu.. Mwenye huo utaalamu awafungie wadau wakione. ===== <Imewekwa>
2 Reactions
48 Replies
9K Views
Safari ya msanii Belle 9 kuitembelea label ya WCB amejifunza vitu vingi na kupata nafasi ya kusikiliza baadhi ya kazi mpya za Diamond Platnumz ambazo bado hazijatoka hewani. Sasa leo August 30...
1 Reactions
11 Replies
4K Views
Back
Top Bottom