Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Diamond hafanyi tena kazi na Bob Junior, lakini hawezi kusahau ukweli kuwa producer huyo wa Sharobaro Records ndiye aliyemfungulia njia ya mafanikio kimuziki. Akizungumza kwenye kipindi cha Ngaz...
4 Reactions
17 Replies
6K Views
Wakuu salaam kwenu, Yafuatayo ni majina na nyimbo za wasanii chipukizi waliopenya kushindania tuzo za EATV AWARDS zitakazotolewa tarehe 10/12/2016 jijini Dar es salaam, :Rashid Said (Bright)...
1 Reactions
28 Replies
4K Views
Inakuaje wanaJF, Katika pitapita zangu Twitter nimekumbana na Tweet moja ya Mwanadada Mwamvita Makamba akidai yeye kama Mwekezaji binafsi katika tasnia ya Fashion ametapeliwa na Mbunifu wa Suti...
3 Reactions
71 Replies
21K Views
Diamond anawashinda wasanii wengi kwa ubunifu na matumizi ya fedha kukuza jina lake.Kwa sisi watu wenye uwezo wa juu kwenye utambuzi ni hivi. 1.Diamond anamtumia Neyo kutangaza jina lake...
4 Reactions
21 Replies
3K Views
Mwigizaji huyo wa comedi alidai hivyo alipokuwa akihojiwa na e news ya eatv, amesema hana kipaji cha kuchekesha bali kukopi nyimbo za watu na watanzania ni wajinga ndio maana wanamkubali mtu kama...
1 Reactions
155 Replies
16K Views
Nina mua-admire jamaa kichizi. Hakuna wa kumfananisha nae.
3 Reactions
51 Replies
5K Views
Nikitazama video za emtee mfano roll up na hii mpya sijui inaitwaje naona kali kuliko video za wasanii wetu. Hata video ya divido ft uhuru - sound iko safi. Sisi zetu ka zinafanana hawa S.A...
0 Reactions
45 Replies
7K Views
Diamond Platnumz jumanne hii amesababisha tafrani kwenye mtandao wa Instagram baada ya kupiga stunt kama ya The Game na Kevin Hart, kwa kupost selfie akiwa amevalia kiboxer cheusi. Kwenye picha...
1 Reactions
18 Replies
9K Views
Mdada ame speak a lot of sense! Nimemuelewa na ninaunga mkono hoja yake. Jamani acheni kusikiliza maneno. Cybercrime sijui cyberbill bado haijapitishwa, JK ameichunia anasikilizia...
11 Reactions
134 Replies
37K Views
Naimani humu kuna wambea wa kutosha kabisa kunipatia habari za le Supa star Lady jaydee!! Mimi ni shabiki mkubwa wa huyu madame, na nimeona kwa sasa akituintrodyuzi kinga'ast chake kipya, sasa...
0 Reactions
71 Replies
12K Views
Wakuu popote mtakapomuona huyu mtu mfikishieni hizi salamu za dhati. Salamu zenyewe ni kwamba anakubalika sana Mozambique yani kuliko hata Diamond anavyokubalika bongo. Najua yuko kwenye mawe...
4 Reactions
14 Replies
4K Views
Mimi nilikua shabiki msikilizaji mzuri sana wa Power Breakfast ya Clouds Fm nakiri kiukweli bwana Gerald Hando ndiye aliyenihamasisha kuwa msikilizaji wa kila siku na alipohama kwenda E-fm...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Haters will say Neyo kanunuliwa au ameshachuja[emoji108] [emoji108] [emoji12] [emoji12]
5 Reactions
23 Replies
4K Views
Nisha amedai kuwa msanii wa bongofleva, Ney wa Mitego ndiye aliyembaka na kumpa mimba Lakini Ney wa Mitego ameng'aka na kudai sio yeye na hawezi kubaka kwa kuwa anapiganiwa na wasichana wengi sana
3 Reactions
13 Replies
9K Views
Nipo Dar, na when in Rome do as the romans do! Act as Mwanaume wa Dar et mbona jamaa hajapost picha za show aliyosema atafanya uwanjani Mayote? picha zilizzopo ni za show ya VIP tu ambazo hata...
0 Reactions
39 Replies
4K Views
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Msanii wa Kimataifa kutokea nchini Tanzania, ambaye pia ni mshindi wa Tuzo ya MTVEMA2016 @officialalikiba, Ameshinda tena tuzo kubwa ya nchini Uingereza maarafu kama #befftaawards za Uk kama Best...
10 Reactions
85 Replies
14K Views
Amepost katika mtandao wa instagram na facebook pasipo kuandika chochote, wengi wametasfiri kwamba ameamua aweke usafiri wake hadharani!! Sasa usishangae wale jamaa wengine nao wakapost meli yao!!
17 Reactions
72 Replies
14K Views
Back
Top Bottom