Rais mstaafu akiwa safarini kutokea Iringa alikokwenda kwenye mahafali ya chuo kikuu kishiriki cha Mkwawa alipata nafasi ya kuwaungisha vijana wanaofanya biashara ya vitunguu katika maeneo ya...
Wadau habari za sunday,kwanza nasikitika sana kumpoteza kwenye ramani ya muziki producer machachari Bob junior kutoka sharobaro records,bob nini kimekukuta?,nini mbaya?,mbona ulikuwa fresh tu...
Inaitwa Tit for Tat! Baada ya Ommy Dimpoz kueleza kwa kina kuhusiana na sababu iliyopelekea wakakosana na Diamond, muimbaji huyo wa Salome, amejibu kupitia Instagram.
Majibu ya Diamond ni ya...
Universal Music Group walitoa dola milioni 1 (takriban shilingi bilioni 2.2 za Tanzania) ili kusambaza nyimbo za wasanii wa label ya Diamond Platnumz, WCBM, imefahamika.
Diamond ametoa habari...
Dah Mond MAYOTTE wamemuelewa sana,full live band,kila siku anazidi kuimprove, usiku huu atakinukisha Kounguo stadium!,go Simba we ni mozart wa bongo fleva,wengine wote ni wanamziki tena wa kawaida...
hivi hii insta awards inaisha lini wakuu manake kwa sasa hamna kinachopostiwa zaidi ya kupiga kuomba kupigiwa kura yaan 24/7 ni plz vote for ........ aaaaaaagh
Habari wanajamvi ..
Kama Heading inavyojieleza ,naomba kujuzwa hivi Wasanii wakubwa huwa wanawalipa Managers wao kwa Criteria gani??kwa kila show?? Kwa mwezi ?? Au kwa njia ipi.Pia vipi kuhusu...
Kwa wafwatiliaji wazuri wa mamafia this is for you.
Nothing personal, it’s just business” ~ Otto Berman
“Las Vegas turns women into men and men into idiots.” ~ Bugsy Siegel
“Murders came with...
Hata kama umeenda brela na kukuta majina yote yana wenyewe lakini hili jina ni la kiswahili cjapata kuona
"Wasafi classic baby" jamani hivi hata uchaguzi wa jina pia unahtaji elimu kumbee.
DIAMOND PLATNUMZ A.K.A MSANII WA UJANJA UJANJA yuko ndani ya nchi ya MAYOTTE kwa ajili ya kufanya shoo mbili,ambazo moja itafanyika kesho na nyingine ni kesho kutwa kwenye uwanja wa mpira.
Huyu mpiga drums anafaa kupiga punda na sio drums, huyu mpiga solo bora hata umtafute nape, kwa hadhi yako ajiri wakongoman na madensa kutoka africa ya kusini, bora ukafanya show mbili za ukweli...
Wakuu Heshima Mbele,
Kiukweli huyu mwamba anajitahidi sana sana na sijapata ona nani anaweza kuifikia sauti yake. Nimeangalia na kusikiliza pini yake ya "Kwa Hela" mara mia sijaona nani anaweza...
Google wametangaza washindi 10 wa mwanzo
wa tuzo za Youtube Sub-Saharan African Creator (YoutubeSSA)
Tuzo hizo zimekuwa zikifanyika kwenye mabara
mengine tangu mwaka 2007 na zimekuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.