Kumbe Nay wa mitego eti ndiye alimbaka Nisha

Bwana eee,huyo demu hana story,anasema jamaa alimlazimisha ,sasa alibakwa wakiwa sehemu gani??ukute walikuwa nyumbani kwa ney harafu demu anasema kabakwa,hivi demu akija kwako na alikuwa ni mpenzi wako na ukamtafuna ni kubakwa huko?
 
toka lini mtu na mpenzi wake wanabakana huyu dada anazingua
 
Hahaha...mdada/mwanamke wa miaka zaidi ya 25 aenda chumbani kwa mwanaume wake kisha akabakwa.

Mbona haendi kushitaki hilo kosa la jinai?
 
Hahaha...mdada/mwanamke wa miaka zaidi ya 25 aenda chumbani kwa mwanaume wake kisha akabakwa.

Mbona haendi kushitaki hilo kosa la jinai?
Mbona mume na mke wanakaa nyumba moja na kuna kubakana kwani hao inashindikanaje

tho I don't buy that story ya yeye kubakwa
 
Nisha amedai kuwa msanii wa bongofleva, Ney wa Mitego ndiye aliyembaka na kumpa mimba
Lakini Ney wa Mitego ameng'aka na kudai sio yeye na hawezi kubaka kwa kuwa anapiganiwa na wasichana wengi sana

Kule zenj kuna sehem wanaita tobo la pili.nafikiri alibakwa huko hahaha
 
Hivi hadi umri huo bado anapigwa peku na kubeba mimba kama mwanafunzi? Ni aibu bora angekaa kimya
 
Huyu dada kumbaka yataka nguvu halafu ingekua kweli si aende police kufungua case,kichaa kitakua kimehamia kwenye mtindiz
 
Back
Top Bottom