Selfie ya Diamond akiwa na kiboxer yasababisha tafrani Instagram

BilioneaPATIGOO

JF-Expert Member
Jun 23, 2012
12,321
11,314
Diamond Platnumz jumanne hii amesababisha tafrani kwenye mtandao wa Instagram baada ya kupiga stunt kama ya The Game na Kevin Hart, kwa kupost selfie akiwa amevalia kiboxer cheusi.

Kwenye picha hiyo, Diamond aliandika: Straight from the Changing room!…I think i need to go back to the gym so that i can be more flexible on m 24th Pre-XMass Parformance in Dar Es Salaam.

Licha ya kufunika kwa emoji kwenye eneo la sehemu zake za siri, selfie hiyo imesababisha hisia tofauti huku wengi wakimponda staa huyo kwa kukosa staha.

78906bcb9f8c717e3dce3b424a82a2bc.jpg
 
Hii ni picha ya kawaida hata hawa mastaa wa nje wanapiga sana hizi.
 
Back
Top Bottom