Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Wakati mabinti wengine wakijikita katika matumizi ya mikorogo na kukimbilia wanaume wenye pesa hali ni tofauti kwa mwanamama zari hassan (the boss lady ) ambaye amekiri wazi kuwa kitu anachopenda...
22 Reactions
150 Replies
17K Views
Rapa Solo Thang ameposti video akiwa na Rapa Chid Benz ambaye walikutana usiku na kuongea baadhi ya mambo, lakini kutokana na hali aliyokuwa nayo Chid Benz Solo Thang alisema hawezi kumuhukumu...
8 Reactions
61 Replies
11K Views
Yaan niko naye hapa bar flan tbt chama...yaaam mm na vijana wenzangu jinsi alivyovaa na alivyo mpaka anatia aibu.dully hisika kwa hili
0 Reactions
17 Replies
6K Views
Hakika naomba niweke ninaloliona juu ya Darasa. Mziki wake unampenda kuliko yeye anavyoupenda mziki. Sioni akiupa promo ya kutosha mziki huu ulikonga nyimbo za watanzania na wapenda burudani...
12 Reactions
65 Replies
14K Views
Karrueche Tran ni mwanamke ambaye Chris Brown hatokuja kumsahau kamwe. Sijui alimpa lini lakini tunachofahamu ni kuwa pamoja na kuachana, bado hitmaker huyo wa Party amekuwa akifuatilia kila...
1 Reactions
29 Replies
8K Views
hili nyomi halijawahi kutokea hii ndo show kubwa ya funga mwaka Diamond si mtu mzr kbsa bado anaendelea kuwajambisha majirani ====== Usiku wa Disemba 25, 2016 wakali wa Mziki wa Bongo Fleva...
6 Reactions
69 Replies
16K Views
Kwa mujibu wa shabiki nguli wa alikiba ,jana aligoma kufanya show dodoma katika clab ya perugina baada ya kutomaliziwa malipo yake. Jana kulikuwa na show ya ally kiba dodoma perugina club kwa...
4 Reactions
137 Replies
21K Views
Baada ya kuondoka ITV na Radio alienda Redio Dutch Welle. Huko nako amekuwa kimya sana. Maryland na maeneo jirani hatumuoni tena, sijui yuko wapi siku hizi. Mwenye info atujuze.
0 Reactions
33 Replies
7K Views
msanii Youg Dee anasakwa na polisi kwa madai ya kuwa alifuta akaunti ya Instagram ya Tunda mara baada ya kugundua namba zake za siri
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Kama Kichwa cha habari kinavyojieleza Meneja wa Diamond Sallam Sk Mendez Akihojiwa na XXL Live pale mlimani City alisema wanapanga kupandisha gari Jukwaani na kulipiga kiberiti live watu...
3 Reactions
138 Replies
16K Views
MWAKILISHI wa Tanzania katika mashindano ya Miss Afrika, Julitha Kabete ameondoka leo kuelekea nchini Nigeria katika fainali ya michuano hiyo inayofanyika Novemba 26 mwaka huu huku akiwaahidi...
2 Reactions
109 Replies
15K Views
habari waungwana,nasikia mtangazaji mkongwe katika bongo yetu Julius Nyaisanga maarufu kama anko j ameacha kazi radio one na ITV na nimefuatilia vipindi vyake kuanzia mambo mseto na radio one...
0 Reactions
53 Replies
20K Views
mitaani wanasema maneno tofauti. Mara ya mwisho nasikia msanii dimond anaumwa ila sijasikia kazidiwa au anapumua vibaya. tupeni maendeleo yake coz watu washaanza kulia. Mia
0 Reactions
35 Replies
12K Views
Mwanamuziki alikiba ashindwa kutumbuiza katika tamasha la muziki, Dodoma Disemba 25 baada ya kufika kwa kuchelewa akitokea Nairobi.
0 Reactions
11 Replies
2K Views
December 26, 2016 Sauti ya Mmanyema ikivuma Ulaya lakini haifahamiki nyumbani Tanzania ya mwanamuziki maarufu wa Kitanzania kwa jina Saidi Tumba a.k.a Saidi Kanda aliyekuwa mpiga tumba maarufu wa...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
huyu jamaa alikuwa kiboko ya mabishoo...tungo zake zilikuwa zina elimisha na pamoja na kuburudisha.. nyimbo ya starehe ilimpa mpaka miradi ya ngo za ukimwi..kwa mpunga aliochota tu kwa ajiri ya...
0 Reactions
21 Replies
13K Views
Tunda bhana ni msichana au video queen pekee anaye jielewa TZ nzima tofauti na video queens wengine kama Masogange, Amber Lulu, Gigy money nk Sifa kuu inayomtofautisha Tunda na video queens...
6 Reactions
151 Replies
40K Views
Mwaka huu 2016 ulikuwa mwaka wa wcb wasafi kwenye burudani hapa bongo. Wasafi ni kama bongofleva sasa imekuwa kama ya kwao jinsi wanavyoitawala wanavyotaka. Angalia kila ngoma walioachia kwao...
6 Reactions
26 Replies
5K Views
AJE aly kiba PERFECT COMBO joh makini KAJIANDAE ommy dimpoz NITAMPATA WAPI dimond platnums SKENDO mo music MBOGA SABA mr blue TOO MUCH darasa NISAMEHE baraka the prince KWETU rayvanny...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Alitembelewa na huyo mwandishi hadi anapokaa
4 Reactions
28 Replies
10K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…