Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Msanii wa vichekesho Anna Exavery a.k.a Ebitoke amefunguka na kusema yupo serious akimtaka Ben Paul awe mpenzi wake Amedai ameanza kumzimia kitambo kabla hajawa maarufu ial hkuweza kuonana nae...
3 Reactions
281 Replies
54K Views
Huyu jamaa anajitahidi sana kujaribu jaribu juhudi za kujiinua tena....... kwa hii ngoma aliotoa akiwa kamshirikisha Q chillah ni dhahiri jamaa hajachoka kujaribu. ila daahh.......kwa sikio...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Habari zenu wana jamvi... Kabla ya kuanza kueleza ni kwa nini nimeamua kuandika uzi huu,natoa angalizo(Sina team so tusitukanane)Hoja hujibiwa kwa hoja. Niende direct kwenye mada,Binafsi nieona...
32 Reactions
141 Replies
18K Views
Huyu jamaa anajua analofanya na yuko very serious katika kazi yake ya kufungua na kufyatua vibendi. Bog Up
0 Reactions
15 Replies
5K Views
Kuhusu kuwa kimya kwa muda mrefu. Majibu 'Nilikuwa nimekaa kimya kwasababu nilikuwa nataka wasanii wa lebel yangu na wenyewe waachie ngoma zao'-Diamond Kuhusu picha aliyoiweka kwenye ukurasa...
1 Reactions
61 Replies
16K Views
Msanii Ney wa Mitego amedai kuna nyimbo atakayoiachia hivi karibuni ambayo itaudhi watu wengi japo kuna baadhi itawafurahisha, nyimbo hiyo itakuwa na video kali ila hajasema ataifanyia wapi
2 Reactions
33 Replies
9K Views
Haya haya....Hajawahi kuniangusha Diamond Platnumza kwa kila ngoma mpya ambayo huwa anaitoa! Pamoja na kuwa huwa zinapigwa vita sana lakini huendelea kutamba kadri siku zinavyo kwenda! Kama...
7 Reactions
41 Replies
5K Views
Ni ukweli usiopingika kwamba Marcos Rene Maidana au Chino kama anavyojulikana na mashabiki wake ndiye bondia pekee aliyempa misuko suko ya kutosha unbeaten man Floyd Mayweather kiasi kwamba...
5 Reactions
15 Replies
3K Views
Nime jaribu kufuatilia uhalisia wa hili beef and who is real kuliko mwingine katika suala zima kla hiphop music and life style and free style Binafsi nimempa Wakazi ushindi katika ushindani huu...
0 Reactions
28 Replies
6K Views
Huyu jamaa alikuwa mgumu balaa. Ukiskia stereo unavuta taswira ya Swahili, hainangwasu, nawadabisha n.k. Kuingia WCB nafikiri kutamsukuma. Kama ni talent anayo promo kupitia WCB atazipata za...
21 Reactions
131 Replies
24K Views
Nimekutana na hii battle Agnes Masogange Vs Corazon Kwamboka. Wote ni watoto warembo Ila kura yangu na karata yangu naitupa kwa Agnes Masogange, Mtoto ni mrefu kaumbika wenye wana sema Amejaliwa...
2 Reactions
36 Replies
13K Views
Saida Karoli: Sijawahi kupokea fedha yoyote toka kwa wasanii waliorudia wimbo wa 'Chambua Kama Karanga".
0 Reactions
36 Replies
11K Views
Soma kichwa cha habari hapo juu chausika then mchukulia hatua kali.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ata kama muziki wa sasa unaendeshwa kwa kiki kijana na mwanamuziki unayeheshimika haupaswi kufika kiwango hiki cha upumbavu. Tumia kipaji chako kipaji unacho haya mambo yakutumia mwili wako...
45 Reactions
423 Replies
62K Views
The secret life of J Edgar Hoover For half a century, the FBI director waged war on homosexuals, black people and communists. Now, a controversial film by Clint Eastwood is set to...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Gazeti la Mtanzania limeripoti kwamba Roma Mkatoliki amegeukia ualimu ambapo anafundisha hisabati katika Shule ya Msingi Mchikichini iliyopo Mbagala Rangi Tatu. Roma Mkatoliki ageukia walimu...
4 Reactions
60 Replies
24K Views
Mtangazaji wa kituo cha clouds fm na mchoraji nguli wa vibonzo nchini Ibrahimu Masoid maarufu Kama Masoid Kipanya..amesema kuwa watu wamekuwa wakitumia nguvu na akili nyingi kutafsri katuni zake...
5 Reactions
45 Replies
11K Views
Kwa wale,wapenzi wa muziki wa ukweli,Real Music watakuwa wanamfahamu Nguli huyu wa Rapper. Hasa wale Vijana wa 1990'S,the boy Made it world to be around kwa hits kalii. Though Modern hiphop...
2 Reactions
11 Replies
3K Views
Wadau , kama mnakumbuka wakati ule SAIGON AKIWA ANAENDESHA KIPINDI KIPINDI CHA HIPHOP HAPO EATV, KUNA BITI YA GOMA LA NAS ESCOBAR, ALIKUA ANATUMIA KAMA SOUNDTRACK, NISAIDIENI JINA LA WIMBO WA ILE...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
May 2017 Documentary: Mwanzo wa KitimTim Choir na Rose Muhando Source: KitimTim Production Je waimbaji wa Kiroho au Kidunia na wasanii wengine wana mpango gani wa kutayarisha documentary zao...
0 Reactions
1 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…