Chid benz ndo kusema huchoki kuinuka mjomba.

Antennah

JF-Expert Member
Oct 14, 2015
6,598
8,439
Huyu jamaa anajitahidi sana kujaribu jaribu juhudi za kujiinua tena.......

kwa hii ngoma aliotoa akiwa kamshirikisha Q chillah ni dhahiri jamaa hajachoka kujaribu.

01f9e77db38f2d939a391dcfd473e2aa.jpg

ila daahh.......kwa sikio langu lilichokisikia.....mshkaji ile sauti yake imekwisha kabisa na sasa anailazimisha tu
Pumzi nayo imekata yooote.....lkn Q chillah katendea kaz sana nafasi yake. SIJUI KAMA KAACHA KUPIGA VILE VILAINI LAKN.

Mlatinoh king
 
Mkuu Chid huwa namkubali san ila kwa sasa ni ngumu sana kwake kutoboa tena.Kama goma kali kama CHUMA lilionekana la kawaida wakati i ngoma kali saaanaaa,asee akalime tu
 
Mkuu Chid huwa namkubali san ila kwa sasa ni ngumu sana kwake kutoboa tena.Kama goma kali kama CHUMA lilionekana la kawaida wakati i ngoma kali saaanaaa,asee akalime tu
daahh niliumia sana juu ya ile ngoma aisee.......upokelewaji wake ulikua wa chini sana....ngoma kali lkn sikutegemea impact ndogo vilee
 
mkuu umetumwa au???

umeiskia freestyle aloshuka pale au unamaanisha pumzi gani ya wale jamaa wanaopasua tofali independence day??

goma kali sana
hahahahaa sijatumwa mkuu ila ni according tu skio langu ndani ya hii ngoma yake mpyaa.......jamaa hana upepo ukiringanisha na chid wa miaka 4 iliopita......tofauti kabisa
 
Dah....chid benz angekuwa mbali sn ni mmoja kati ya wasanii wangu wakali wa muda wote napata mashaka kama atarudia ubora wake
 
Dah....chid benz angekuwa mbali sn ni mmoja kati ya wasanii wangu wakali wa muda wote napata mashaka kama atarudia ubora wake
ni vigumu.....addiction ya unga ni zaidi ya hata ile ya nyeto inayowatesa vijana mtaani miaka nenda rudi......sasa pata picha.
 
Kwisha habari yake Chidi.... Nimeusikia huu wimbo anavyostruggle lakini wapi...

Sad.....

Dah sijui kama atarudi yule chidi wa dar es salaam stand up...put u a hands up...
 
Back
Top Bottom