Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Bila kumungunya maneno huyu demu ni mbovu na hana kiwango cha kutoka na Ben Pol. Kitendo cha kujiliza kwenye vyombo vya habari kuwa anampenda Ben na mwanaume kuingia mzima mzima bila kuchelewa...
9 Reactions
161 Replies
27K Views
Mwimbaji na Mbunge wa Mikumi Profesa J, Leo July 8 2017 amefunga ndoa na mpenzi wake Grace . Picha 4: Kutoka kwenye ukumbi inapofanyika harusi ya Rapper Profesa J na Mke wake Grace .
7 Reactions
52 Replies
11K Views
baadhi ya wafanya kazi wa Clouds media kama perfecto alicheka nusu kuzimia ila soudy brown akaishia kuanzisha mada instagram kwa kuandika maneno haya "Kabla ya yote kwanza Tujadiliane kuhusu...
3 Reactions
137 Replies
25K Views
Nilipoona watu wanampondea demu aliyeomba kutembea na Ben pol ilibidi na Mimi nijiridhishe kuutafuta ukweli na bahati nzuri nimemuona Live, kwenye video na picha pia. Hata Mimi nahitimisha kwa...
0 Reactions
111 Replies
24K Views
Hii Media House ni tishio sana kwa uwepo wa radio na tv nyingine. Wamepiga promo kwa tv na radio yao tu na kuisimamisha mwanza. Hapa ndipo nguvu ya Media inapoonekana. Ngoja niendelee kuruka na...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Wanajamvi, Leo nimeona niwaletee tofauti ya wanamziki hawa wawili katika nyanja ya mziki. Tuanze na Jide (Lady Jay Dee) huyu ni mwananziki wa kike aliyeanzia kuimba kwaya huko kwao ambapo alipata...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Wasalaam JF! Juzi tarehe 06/07/2017 nihudhuria show ya mwanamama saida karoli, napenda nikiri kwamba ilikuwa ni show ya kihistoria. Kwa kweli sio kitu cha kawaida kwa mwanamuziki aliyekaa benchi...
11 Reactions
32 Replies
5K Views
karibu na tumsapoti dada yetu
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Pichani mbunge wa Mikumi, Professa J akiwa na rafiki yake kwenye send off ya mkewe tayari tayari kwa fungate hivi karibuni. Pichani mke mtarajiwa wa professa, Bi Grace akiwa kwenye send off yake...
5 Reactions
56 Replies
12K Views
Mimi sio shabiki wa muziki wa kizazi kipya, iwe kutoka kwa Diamond, Ali Kiba au msanii mwingine yeyote wa rika lao, lakini kuna jambo limenivutia sana. Nikiwa ofisini, wadada wawili walikuwa...
5 Reactions
22 Replies
8K Views
They was boys, the tightest of them. Now they’re foes, y'all know the story. It just hit me other day that no one really survives a break-up with the man, they just fall off while he takes off...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Msanii rapa kutoka pande za mwanza mwanza godfrey tumain makoye DUDU BAYA amemuonya vikali msanii kutoka pande za mazense emmanuel eribalik NEY WA MITEGO kuwa aache mara moja kujilinganisha na...
0 Reactions
16 Replies
6K Views
Kwa burudani uliyotupa jana pale Escape One,nakushukuru na kukutakia kila la heri. Sauti yako,mapigo yako,historia yako na ukomavu wako ulitumaliza wahudhuriaji wako. Asante Dada Saida,usituache...
4 Reactions
41 Replies
5K Views
Mkali wa Miondoko ya RNB Bongo Ben Pol ambaye yupo kwenye penzi zito la Mwanadada Mchekeshaji Ebitoke amesema kuwa wanaodhani kuwa mapenzi ya wawili hao ni kiki wasubiri kuona ndoa imefungwa...
0 Reactions
27 Replies
5K Views
Daaaa sijui nisemaje Lakini kati ya Wasanii ninao wakubari hapa Tanzania Basi Barnaba ni Namba Moja! Anaweza kuwa hana bahati na Biashara ya muziki,Lakini hicho hakinifanyi mimi nisitambue uwezo...
3 Reactions
96 Replies
18K Views
Hatimaye unabii wa Afande Sele juu ya Saida Karoli umetimia. “Mimi nilijua Saida Karoli ni mwanamuziki bora wa kike Afrika, mimi nafahamu sio Tanzania.Saida Karoli yupo juu ya dada yangu Jide...
10 Reactions
40 Replies
7K Views
Jamaa anaonkana mbunifu!!baada ya kuhakiwa his 2m account jamaa kawaka tena Huyu komedian no shida...and he fluently speak English He take usual post but caption anauga Tz TNA vpaji sema vinazamia...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Instagram sio tena sehemu ya kupost picha pekee kwaajili ya kuuza sura kama zamani, mtandao huyo kwa sasa unawaingizia pesa nyingi baadhi ya mastaa duniani. Staa wa soka Cristiano Ronaldo na...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Umuofia kwenu wakulu, Baada ya Clouds kumpa promo ya nguvu Saida Karoli na kumrudisha kwenye gemu ya muziki kwa kishindo,inasemakana lakini, E-Fm ya Dar nayo imepanga kumrudisha Mr. Nice!
2 Reactions
64 Replies
7K Views
Wengi husema na kulaumu kuwa eti hawa wanawake hutembea na wanaume wadogo mfano Zarina na daimond Wolper-harmonize Wema-idris Shilole-nuhu Hawa wamewazidi wapenzi wao miaka mingi mfano zari...
6 Reactions
70 Replies
8K Views
Back
Top Bottom