ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,170
- 7,662
Daaaa sijui nisemaje Lakini kati ya Wasanii ninao wakubari hapa Tanzania Basi Barnaba ni Namba Moja! Anaweza kuwa hana bahati na Biashara ya muziki,Lakini hicho hakinifanyi mimi nisitambue uwezo mkubwa alio nao Kiasauti,uwezo Mkubwa Wa kuandika mashairi,uwezo mkubwa wa kupiga vyombo vya muziki,Uwezo wake wa Kufanya Live Band na sauti kuwa sawa na CD huyu ndio msanii Achana na Diamond mfanyaja biashara wa muziki,Achana na Alikiba Anae Chipukia kwenye biashara ya muziki........ Si darasa si Shetta Sauti yake barnaba na uwezo wake mkubwa alio nao vinatosha kuwaweka hao wengine wote kando! Kipi hukipati kwa BARNABA ?
Anyway Tuachane na hayo ya kimuziki...Njoo kwenye maisha ya Kawaida Japo huku simjui vizuri ila sio mtu wa MEDIA wala sio mtu wa kujionesha hata maisha yake siyo ya kuoneshwa ovyo ovyo.....Ni kijana mpole mstaarabu na Mwenye heshima!
Kinacho nishangaza ni hili ninalo lisikia kwenye Media! Eti Nikweli Barnaba Kaachana na Mkewe? Hapo ndipo napo shindwa kuamini....Barnaba Katika ndoa za mfano nilijua yako ingekuwa namba moja lakini kwa haya yanayo endelea unatakiwa kufanya kazi kubwa sana Barnaba mbali na usanii wako lakini watu walikuwa wanaangalia ndoa Yako kama Ndoa ya msanii ambayo haina makuu na Ni mfano wa kuigwa kwa wasanii wengine! Lakini kwa hili nalo lisikia Barnaba Unatuangusha!
Kama Kweli barnaba Kaachana nA mkewe Basi wasanii ndoa zao ni maigizo sanaaaaaa.....Japo naambiwa ndoa yenye mtoto huwa haivunjiki
Ngoja tuwape muda