Shoo ya Saida kaloli: Kwa waliomisi pale ESCAPE

Ilipendeza sana ila costume za ma-stage show haziku-match na decos
 
Sijawahi jutia kumpenda huyu dada pamoja na kazi zake.....na uelewa sana mziki wake!!
Ni mama lakini sauti yake sasa ....imagine katokea bush akiwa muimbaji wa nyimbo za kihaya huko vijijini ....nchi hii ina vipaji tatizo ni namna ya kuviibua tu ....the same kwenye soka ...tunakomaa na simba &yanga while nchi hii ina watu almost 50 million .....vijijini huko kuna vichwa hatujavitambua ....
 
Screenshot_20170708-150741.png
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom