Kutoka na Ebitoke, ni uthibitisho kuwa Ben Pol hana swaga

Mtarban

JF-Expert Member
Jan 14, 2015
3,818
5,007
Bila kumungunya maneno huyu demu ni mbovu na hana kiwango cha kutoka na Ben Pol. Kitendo cha kujiliza kwenye vyombo vya habari kuwa anampenda Ben na mwanaume kuingia mzima mzima bila kuchelewa hata sekunde ni dalili za msanii huyu kutokuwa na swags kwa mademu wakali wa kibongo bali anasubiri kuonewa huruma na mademu wabovu na wasio na quality kama Ebitoke.
 
Bila kumungunya maneno huyu demo ni mbovu na hana kiwango cha kutoka na Ben pol. Kitendo cha kujiliza kwenye vyombo vya habari kuwa anampenda Ben na Mwanaume kuingia mzimamzima bila kuchelewa hata sekunde ni dalili za msanii huyu kutokuw na swags kwa mademu wakali Wa kibongo bali anasubiri kuonewa huruma na mademu wabovu na wasio na quality kama Ebitoke.
Kwann unasema hivyo? Acha dharau Mtarban
 
Pesa oo Pesa

Wapenda udakuz wanawapata haswaaa

Ila ndio maisha ya wasanii nchini hapa, wanajua wengi kuanzia mitandaoni wanapenda nini.

Mwisho wa siku kuwa wote kujipaisha ki kiki, Mungu anaweza waweka... wawe pamoja milele na kuishi kwa furaha bila matarajio yao wawili.. na kupendana mapenzi ya kweli.
 
upload_2017-7-7_0-39-31.jpeg
 
Bila kumungunya maneno huyu demo ni mbovu na hana kiwango cha kutoka na Ben pol. Kitendo cha kujiliza kwenye vyombo vya habari kuwa anampenda Ben na Mwanaume kuingia mzimamzima bila kuchelewa hata sekunde ni dalili za msanii huyu kutokuw na swags kwa mademu wakali Wa kibongo bali anasubiri kuonewa huruma na mademu wabovu na wasio na quality kama Ebitoke.
Kwani wanawake wakali ni wepi?. Ebitoke kajiona mkali ndiyo maana kamchomoa huyo hata wewe angekuchomoa tu ila kaona huna inshu.
Yule binti anajitambua na usidhani Ben. Pol atamzingua. Kama huwajui wahaya kakojoe ulale ama muulize dktr. Slaa ana majibu.
 
Bila kumungunya maneno huyu demo ni mbovu na hana kiwango cha kutoka na Ben pol. Kitendo cha kujiliza kwenye vyombo vya habari kuwa anampenda Ben na Mwanaume kuingia mzimamzima bila kuchelewa hata sekunde ni dalili za msanii huyu kutokuw na swags kwa mademu wakali Wa kibongo bali anasubiri kuonewa huruma na mademu wabovu na wasio na quality kama Ebitoke.
Weka picha ya msichana unaetoka naye na kama hautojali na ya Dada yako pia tufanye ulinganifu
 
Bila kumungunya maneno huyu demo ni mbovu na hana kiwango cha kutoka na Ben pol. Kitendo cha kujiliza kwenye vyombo vya habari kuwa anampenda Ben na Mwanaume kuingia mzimamzima bila kuchelewa hata sekunde ni dalili za msanii huyu kutokuw na swags kwa mademu wakali Wa kibongo bali anasubiri kuonewa huruma na mademu wabovu na wasio na quality kama Ebitoke.
Mmh hapana ! Mapenzi ya kweli hayachagui wala kubagua
 
Back
Top Bottom