Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana Husika na kichwa cha habali hapo juu Habali kamili Msanii daz baba kutoka daz nundaz ambalo ni kundi lililopata kutamba hapo miaka ya nyuma amesema tofaut...
3 Reactions
52 Replies
11K Views
Aman iwe kwenu katika bwana wapendwa Kama kichwa cha habali kilivyo hapo juu.. Kwanini wasanii wetu kwa sasa kila siku wanaachia ngoma mpya kuna huko mbelen wanajiandaa na nini yaan na kitu gan...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Dar es Salaam.Usaili wa kuwatafuta washiriki wa mashindano ya kumtafuta mrembo wa Miss Grand Tanzania utafanyika Julai 10, mwaka huu katika ukumbi wa Dar es salaam Convention Centre, jijini Dar es...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Baada ya ukimya wa muda mrefu tangu msanii wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz atangaze ujio wa bidhaa zake za headphone ‘Chibu Beats’, msanii huyo ameelezea kinachochelewesha. Muimbaji huyo...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Leo kwenye pitapita zangu youtube ghafla nikakutana na huu wimbo unaitwa Tunafanana kaimba msanii Barnaba kusema kweli toka uvunguni wa moyo wangu wimbo huu ni mzuri sana kimashairi na melody...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Kuna wimbo fulani wa kitambo kidogo wa hip hop wanaimba hivi "jamani mashabiki(shuka shuka), mashabiki bwana(shuka shuka), hata biti halijaanza(shuka shuka)" kwa unaepata huo wimbo...
0 Reactions
34 Replies
10K Views
Dully Sykes amewachana wasanii wenzake kwamba kinachowafanya washindwe katika tasnia ya muziki ni kutojitambua pamoja na kutokuwa na heshima. Dully ameeleza hayo kutokana na uwepo wake wa kipindi...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Wasanii wakubwa ndani ya Africa Davido na Wiz Kid mwaka juzi walionyesha kuwa washapata na kupiga picha pamoja ila toka mwaka jana kumekuwa na beef la chini chini. Hii imethibikitika baada Davido...
3 Reactions
58 Replies
10K Views
FAIZA ALLY mke wa sugu wa Zamani a.k.a mama Sasha ambaye ni mjamzito anakaribia kujifungua hivi karibuni kapost post ya utata instagram ambayo ikimonyesha akipokea bonge la busu kutoka kwa...
1 Reactions
61 Replies
16K Views
Rapa Dudubaya amefunguka na kusema haijawahi kutokea akamuacha mwanamke bila mwanamke huyo kupatwa na uchizi au asilie machozi. Dudubaya amesema hayo alipokuwa kwenye kipindi cha Planet bongo...
2 Reactions
49 Replies
8K Views
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana Kichwa cha habali kinajieleza vizur sana hapo juu Habaali kamili Msanii wa kizaz kipya chid benz amempiga mkwara wa kutosha na wa nguvu msanii mwenzie...
1 Reactions
26 Replies
5K Views
Idris Sultan ataonekana katika filamu ya ‘Ballin …On the Other Side of the World,’ itayoandaliwa nchini Marekani chini ya muongozaji Harvey White. Filamu hiyo imeandaliwa kwa bajeti ya Dola za...
5 Reactions
54 Replies
9K Views
P1 black, Saida karoli, Dudu baya, Tid, Chid Benz, Mansul...nk Je watatoboa kwa Vijana kwa Digitalia? Time will tell.
3 Reactions
67 Replies
6K Views
kwa majina anaitwa Stella Montez, au Chagabarbie au chagaempress anayeishi brooklyn new york. Nyuma kama miaka miwili aliwahi kumdate Prezoo msanii wa maarufu tajiri kenya. siri ya urembo wake ni...
8 Reactions
254 Replies
36K Views
Gigy Money bado anaendeleza uchizi wake ndani ya Mwanza car wash party baada ya kutoa wimbo wake unaoitwa "nampa papa". Shughuli anazofanya Gigy kama msanii BASATA itabidi walivalie njuga.
2 Reactions
87 Replies
13K Views
Hapo ndo kuna tofauti kati yao na sisi
3 Reactions
124 Replies
18K Views
Habarini mtu yeyote mwenye kujua habari kuhusu huyu mtu naomba haziweke hapa..... maana nampenda sana huyu mdada, nataka nimpe zawadi ya kiwanja changu cha MSATA ili ahamie Tanzania Hata unaweza...
2 Reactions
51 Replies
13K Views
Nimeleta Uzi huuu kwenu nanyi mseme Kunawatu wanadai. Dogo na jux wamefanana mbayaaa haya vp wewe mdau kwa mtazamo wako
2 Reactions
32 Replies
6K Views
Yooooh Niaje? Kwa sasa kuna wimbi la wasanii wetu wa bongo flevani kuamini video kali zinabeba nyimbo hata ikiwa mbovu(kuna ukweli ndani yake).Kwa kuzingatia hilo suala la kichupa kikali...
0 Reactions
31 Replies
6K Views
Back
Top Bottom