Tetesi: Baada ya Clouds kumpa promo ya nguvu Saida Karoli, E FM nao kumtoa Mr. Nice

Mbalamwezi1

JF-Expert Member
Dec 20, 2013
2,073
2,021
Umuofia kwenu wakulu,
Baada ya Clouds kumpa promo ya nguvu Saida Karoli na kumrudisha kwenye gemu ya muziki kwa kishindo,inasemakana lakini, E-Fm ya Dar nayo imepanga kumrudisha Mr. Nice!
 
aaagh kumbe inasemekana tu,habari hii imetoka kwenye chanzo cha habari kisichoaminika..
 
mi niko tofauti na wengi sana kuhusu saida hivi kipi kinakufanya ushabikie mziki wa saida au mziki wa kihaya???

Daily media zinahamasisha matumiz ya kiswhil ila leo promo kubwa ni kwa mwanamziki mhaya lugha had swag ni mhaya,
TUKUMBUKE TUNAYOYATOLEA MISHIPA
 
....Tatizo la waimba kiswahili nao nyimbo wanajua ni mapenzi tuu if maisha ni mapenzi tuu
 
Saida yuko vizur ni mwanamuziki ila promo anayopata na game la sasa sidhan ka ataweza himili wanamtwika mzigo mkubwa ambao hawezi yuko lakin kwa sasa nafasi yake haipo,,,,,,, ka mnakumbuka hao mawingu walishikia bendera singeli hadi akina man fongo wakatamba kutaka kuupeleka muziki huo nje kwa kupewa promo kubwa sasa wako wapi,,,,,,, hata saida hatodum atabaki kurudia nyimbo zake na kuzidisha mi makeups ili aonekane binti ila kachoka,,,,,,wakat ukuta
 
Kalori ni tofauti na singeli, alafu mie namkubali sana producer wa saida, ana beats fulani hivi nzito za kitamaduni na kipekee.
 
mi niko tofauti na wengi sana kuhusu saida hivi kipi kinakufanya ushabikie mziki wa saida au mziki wa kihaya???

Daily media zinahamasisha matumiz ya kiswhil ila leo promo kubwa ni kwa mwanamziki mhaya lugha had swag ni mhaya,
TUKUMBUKE TUNAYOYATOLEA MISHIPA
Hivi kwa nini kitufe cha DISLIKE hamna hapa??
 
mi niko tofauti na wengi sana kuhusu saida hivi kipi kinakufanya ushabikie mziki wa saida au mziki wa kihaya???

Daily media zinahamasisha matumiz ya kiswhil ila leo promo kubwa ni kwa mwanamziki mhaya lugha had swag ni mhaya,
TUKUMBUKE TUNAYOYATOLEA MISHIPA
Huenda ukawa na homa haupendi asili kuliko nyimbo za akina yo-yo-yo-.... Unamaanisha Wamasai waache shuka na staili zao za nywele wavae suruali na shati na kunyoa kiduku?
 
Wanataka kumpuna tena kama kipindi kileeee

Umenikumbusha mbali sana ndugu. Enzi za kucheza Gololi na kidali.

Ila radio mawingu wako vizuri kuangalia fursa. Wao ni kama nzi, wakiona kidonda tu wako radhi wafie hapo. Pia ni jambo jema wao ni wabunifu ila wawe na balance kwenye jasho la wengine.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom