Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Ningesema walichonifanyia nilivyotekwa, hakuna mtu ambaye angetaka kuwa karibu na mimi tena.-Roma Katoa kauli hii akihojiwa na EATV,Wataalamu ebu ongezeeni nyama hiyo kauli ya Roma"Tafakuri"
6 Reactions
66 Replies
10K Views
Katika Wimbo wake kila mara nimesikia akitaja ' mafanikio ' mengi ya Mwanaume ila kila mara anasisitiza tu kuwa Mwanaume ' Mashine '. Sisi wengine ni ' Wageni ' katika nchi hii na hatukijui vizuri...
2 Reactions
60 Replies
15K Views
Ni wiki sasa tangia nianze kuifatilia hii chanel ya tv E ilopo dstv....naona ni mpya mana kila time wanaplay music ila kinachonshangaza mimi ni kuwa sijawaiona ata siku moja nyimbo yoyote ile ya...
1 Reactions
45 Replies
5K Views
Msanii mkali anayetamba na hit song mbali mbali kama nyonga nyonga chin bees amemujibu mkali wa ilala chid benz kuwa aache kumufata fata na kumufatilia na ajali maisha yake mwenyewe Chin bees...
1 Reactions
18 Replies
3K Views
Ziara ya wasanii wa filamu imeleta gumzo mjini hapa palemabinti wa filamu walipokuwa na muda mwingi kuwaliwaza wenyeji wao wabunge hasa baada ya mpambano mkali wamechi katiya wabunge na wasaanii...
2 Reactions
93 Replies
25K Views
HISTORIA iliyowekwa Julai 8, mwaka 2017 ya kufunga ndoa kati ya Mbunge wa Jimbo la Mikumi kupitia tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), ambaye pia ni rapa mkongwe kwenye muziki wa...
4 Reactions
16 Replies
5K Views
Msanii wa muziki wa Bongo Fleva na mmoja wa Watu wanaoaminika kuwa ni Mbabe kama siyo Mtemi na Ngumi Jiwe wa kutukuka Kalapina jana wakati akihojiwa na Kipindi cha XXL kinachorushwa na Clouds fm...
13 Reactions
118 Replies
17K Views
Msanii mkongwe wa muziki wa hip hop, Dudu Baya amedai muziki wa rapa Nay wa Mitego hautofautiani sana na muziki wa Gigy Money na Amber Lulu huku akidai ni muziki uliotawaliwa na majungu na...
1 Reactions
16 Replies
6K Views
Kama ingetokea Huyu Mwanadada anaajiriwa Leo Clouds unavyoona angefaa ku host kipindi gani?
0 Reactions
64 Replies
11K Views
He was asked: You have been married for a while, how have you been able to hold your home together? I must give it to my wife (Mrs Emelia Philips-Nouah). She’s a triple woman. She’s not like...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Ni mmoja wa MC's ambao walijijengea umaarufu mkubwa kwa uandishi na flow....natamani huyu msanii na wenzake kama akina Imamu Abass warudi tena tusikie ladha zao.... naomba tujuzane kuhusu nyimbo...
2 Reactions
47 Replies
11K Views
Wakuu leo niliamua nisikilize nyimbo za wanamuziki (wanaoimba tu) wengi wa bongoflava wale wa zamani na hawa wa sasa. Nilichokuja kugundua Q Chief bado ni mwanamuziki wangu wa miaka yote. Sahau...
1 Reactions
21 Replies
5K Views
Msanii Diamond amedai licha ya kuwa na skendo nyingi ipo siku atakuwa waziri wa michezo na sanaa nchini ili kutatua changamoto katika muziki na michezo ambazo serikali imeonekana imeshindwa Pia...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Aman iwe nanyi wapendwa wa jukwaa hili katika bwana Husika na kichwa cha habali hapo juu Wasanii madogo wa hapa bongo ambao ni wakali wa kuflow na mashail yaliyoenda shule pia ndo madogo wenye...
0 Reactions
18 Replies
5K Views
Mashabiki walimrushia msanii Shilole chupi akiwa jukwaani huku wakimtaka aivae chupi hiyo, baada ya kumuona alivyovaa ilikuwa sio
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Serikali ya magufuli inapambana vikali na mimba za utotoni au kwa wanafunzi kwa ujumla, kwa wiki 3 zilizopita serikali imeweka msisitizo kuhusu watu kuwapa mimba wanafunzi na kuwakatishia masomo...
4 Reactions
75 Replies
12K Views
Kwa wapenzi wa Ali Kiba kaa tayari kwa colabo yake na Davido kama inavyoonekana kwenye hiyo video
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Aman ya bwana iwe nanyi wapendwa katika bwana Husika na kichwa cha habali hapo juu Habali kamili Baada ya msanii wa kizaz kipya kutoka pande za kigoma ommy dimpoz kuachia ngoma yake mpya...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
It's been 20 years since Tupac's tragic death. When you think of Tupac, you may think of him as a legendary rapper, actor, poet, and voice for the young, black community. But one title you...
2 Reactions
2 Replies
7K Views
Jana young killer msodoki alidondosha kichupa chake kipya ambacho humo ndani amemshirikisha msanii kutoka lebo ya WCB, cha ajabu video hiyo toka imewekwa jana usiku mpaka sasa inaongoza kuwa na...
2 Reactions
61 Replies
40K Views
Back
Top Bottom