Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Dk. Harrison Mwakyembe December 16, 2017 alizindua mfumo mpya wa Kieletroniki wa Utambuzi wa Wanamuziki ambao utaanza kutumika nchini kwa ajili ya kulinda maslahi ya wasanii. Moja ya vitu...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mwimbaji wa marekani Jason Darulo mwenye urefu wa meta 1.84 na hit maker wa Tip Toe alomshirikisha French Montana atataka Rayvvany wa WCB wasafi kushirikishwa kwenye remix ya Tip Toe hivi punde...
0 Reactions
5 Replies
5K Views
=> Caption za Istagram naandika mwenyewe na naona naandika maneno ya kawaida wala simpigi mtu vijembe. => Watu wengi naona wanantukana Zari na yeye hapa hana ndugu kwahiyo nikiona hivyo lazima...
5 Reactions
125 Replies
39K Views
Nauliza tu, maana kuanzia mwakajana kumeibuka utitiri wa vijana wanaoimba muziki huu, je kabla haujaaanza kutambulika mtaani walikuwa wanaimba nini, au walikuwa hawaimbi?
1 Reactions
64 Replies
9K Views
Nadhani kwa picha hii kila mmoja atakubaliana na mimi chanzo cha lipsi denda za Dangote na Prince wake[emoji1] [emoji1] ni huyu bi mdashi
1 Reactions
22 Replies
6K Views
Ama kweli Mwenyezi Mungu hamtupi mja wake....Dr. Shika kabadilika kabisa. Looks so executive
21 Reactions
78 Replies
11K Views
Wasanii wa kike wa bongo muvi wamechukia sana kauli ya Shamsa Ford baada ya kuwaambia kuwa hawamfikii kwa uzuri Irene Pancras Uwoya hata ukucha . Kauli hiyo ya Shamsa Ford iliibua mjadala mzito...
0 Reactions
43 Replies
12K Views
Msanii wa muziki wa Bongo Flava, Hemedy PhD amefunguka mambo kadhaa kuhusu yeye kuwa baba wa watoto sita. Muimbaji huyo ambaye anatamba na ngoma ‘January to December’ ameiambia Planet Bongo ya...
0 Reactions
39 Replies
9K Views
Rose Muhando Amrushia Ujumbe Magufuli
0 Reactions
8 Replies
7K Views
Anasema alikuwa hamjui Bashite ila sasa kamjua na anampenda sana. Nakuuliza wewe Wema umemjua Bashite kwa vile unataka ufutiwe kesi. Kwanini upoteze utu wako kwa tamaa ya pesa. Mbona akina...
10 Reactions
85 Replies
12K Views
Karibuni, Nimekutana na taarifa 'njema' ambazo zinamhusisha msanii wetu pendwa, Vanessa Mdee ambaye alishawahi kuitwa Central na Makonda, kwamba amepata dili nono la kusaini na Lebo ya Kimataifa...
4 Reactions
60 Replies
9K Views
Kada huyo anayependa sana lugha ya malkia ingawa yenyewe haimpendi amepost tena kwa msisitizo mkubwa kuonyesha umahiri wake mara baada ya kujichimbia chimbo kwa muda mrefu akibukua ki english
4 Reactions
29 Replies
4K Views
Jeshi la polisi mkoani Singida linamshikilia muimbaji Rose Mhando kwa tuhuma za kujipatia shilingi 950,000 kwa njia za udanganyifu Kamanda wa polisi mkoa wa Singida Deborah Magirimba...
2 Reactions
71 Replies
20K Views
Kweli Siasa hazina adabu baada ya Wema Kurudi CCM na kusema yupo nyumbani amuita RC wa Dar Le Brother. Kasahau yale yote ya nyuma Kesi za Madawa na kila kitu. Maneno yote aliyoyasema wakati...
5 Reactions
120 Replies
16K Views
Ni dogo janja akimuwish mke wake kipenzi heri ya kuzaliwa na maneno matamu na mazito pia:
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe Juma mosi December 16, 2017 alizindua mfumo mpya wa Kieletroniki wa Utambuzi wa Wanamuziki ambao utaanza kutumika nchini kwa...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Wadau nimejaribu kuusikiliza huu ujumbe wa Mama Kanumba kwa LLulu,nikajiuliza kama Lulu angekua mtiifu kwa Mama kanumba je angeweza kuomba mahakama ifute kesi? Je kukomaa na ile kesi ilikua ni...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Diamond Platnumz, anazidi kujitanua katika nyanja za kimataifa. Katika Album yake inayotarajiwa kutoka Jan 2018. Moja ya kibao ktk Album hiyo ni Baila, ambayo amemshilikisha Miri Ben Ari, Mchawi...
3 Reactions
30 Replies
18K Views
Staa huyo wa nyimbo kama niwe wako na mapenzi ni ya wawili amepotea sana kwenye tasnia ya muziki,sauti yake tamu na nyororo ilitakiwa iendelee kutuburudisha katika vipindi mbali mbali vya...
4 Reactions
57 Replies
13K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…