Daimond Platnumz "Baila" Ft Miri Ben Ari (Kionjo)

GTA

JF-Expert Member
Jul 25, 2013
882
1,000
Diamond Platnumz, anazidi kujitanua katika nyanja za kimataifa. Katika Album yake inayotarajiwa kutoka Jan 2018. Moja ya kibao ktk Album hiyo ni Baila, ambayo amemshilikisha Miri Ben Ari, Mchawi wa kupiga violin. Nadhani hii itakuwa ni bonge la ngoma.
Pia Mwanamuziki Miri Ben Ari kupitia ukurasa wake wa instagram ameweka kionjo cha kazi ya baila wakiwa wanatengeneza na diamond platnumz
Unaweza kutazama tazama video ya kionjo hapo chini
 
kipumbwi

JF-Expert Member
Feb 3, 2015
2,355
2,000
Wiki 3 nyimbo 3 ie Sikomi,Niache na Waka na zote flop,Wakawaka bora angeiacha tu ndani ya album kwani ni bubble gum na imeshapotea!!

Diamond ifike sehemu atafute waandishi wamtungie nyimbo,nna kama lengo lake ni kuendelea kufanya kazi na wanamziki wa kimataifa basi pia akubali kufanya kazi na maproducers wakubwa wa nje ama kwa hapa Bongo afanye kazi na Hermy B wa B Hits ama Man water,Laizer uwezo wake mdogo sana ukilinganisha na ukubwa wa diamond na kwa sasa kafikia mwisho,bbeats zake ni vikopo tu!!
 
mjukuum

JF-Expert Member
Dec 8, 2014
5,157
2,000
Wiki 3 nyimbo 3 na zote flop,Wakawaka bora angeiacha tu ndani ya album kwani ni bubble gum na imeshapotea!!

Diamond ifike sehemu atafute waandishi wamtungie nyimbo,nna kama lengo lake ni kuendelea kufanya kazi na wanamziki wa kimataifa basi pia akubali kufanya kazi na maproducers wakubwa wa nje ama kwa hapa Bongo afanye kazi na Hermy B wa B Hits ama Man water,Laizer uwezo wake mdogo sana ukilinganisha na ukubwa wa diamond na kwa sasa kafikia mwisho,bbeats zake ni vikopo tu!!
Nina hofu ukweli wako watakuita team kiba
 
kipumbwi

JF-Expert Member
Feb 3, 2015
2,355
2,000
Nina hofu ukweli wako watakuita team kiba
Warejee tu album yake ya kwanza na hii,nyimbo kama Chandachema,Nalia ft Chid Benz etc!!

Mwaka huu Eneka ni copy ya If ya Davido,Waka ft Rick Ross ame copy kwa Ney wa mitego wimbo wa Makuzi ambapo kama Ney wa mitego akivunja ushikaji na kushitaki anaweza mzalilisha hadi Rick Ross!!!
 
option

JF-Expert Member
Jan 15, 2013
1,797
2,000
Umefikia wakati sasa diamond afanye kaz na producer mwingine au producer alienae arudi tena VETA.
 
Sumu

JF-Expert Member
Nov 5, 2010
6,890
2,000
Wiki 3 nyimbo 3 ie Sikomi,Niache na Waka na zote flop,Wakawaka bora angeiacha tu ndani ya album kwani ni bubble gum na imeshapotea!!

Diamond ifike sehemu atafute waandishi wamtungie nyimbo,nna kama lengo lake ni kuendelea kufanya kazi na wanamziki wa kimataifa basi pia akubali kufanya kazi na maproducers wakubwa wa nje ama kwa hapa Bongo afanye kazi na Hermy B wa B Hits ama Man water,Laizer uwezo wake mdogo sana ukilinganisha na ukubwa wa diamond na kwa sasa kafikia mwisho,bbeats zake ni vikopo tu!!

Umekosoa kistaarabu na kutoa suluhisho. Wewe ni great thinker wa kweli.

Ngoja nifuatilie Google CV ya huyu mpiga violin.
 
PAGAN

JF-Expert Member
Aug 19, 2014
9,887
2,000
Wiki 3 nyimbo 3 ie Sikomi,Niache na Waka na zote flop,Wakawaka bora angeiacha tu ndani ya album kwani ni bubble gum na imeshapotea!!

Diamond ifike sehemu atafute waandishi wamtungie nyimbo,nna kama lengo lake ni kuendelea kufanya kazi na wanamziki wa kimataifa basi pia akubali kufanya kazi na maproducers wakubwa wa nje ama kwa hapa Bongo afanye kazi na Hermy B wa B Hits ama Man water,Laizer uwezo wake mdogo sana ukilinganisha na ukubwa wa diamond na kwa sasa kafikia mwisho,bbeats zake ni vikopo tu!!

Kwanini we usitafute waandishi wakuandikie nyimbo? Umekwama wapi?
 
mjasiliaupeo

JF-Expert Member
Apr 21, 2013
1,894
2,000
Wiki 3 nyimbo 3 ie Sikomi,Niache na Waka na zote flop,Wakawaka bora angeiacha tu ndani ya album kwani ni bubble gum na imeshapotea!!

Diamond ifike sehemu atafute waandishi wamtungie nyimbo,nna kama lengo lake ni kuendelea kufanya kazi na wanamziki wa kimataifa basi pia akubali kufanya kazi na maproducers wakubwa wa nje ama kwa hapa Bongo afanye kazi na Hermy B wa B Hits ama Man water,Laizer uwezo wake mdogo sana ukilinganisha na ukubwa wa diamond na kwa sasa kafikia mwisho,bbeats zake ni vikopo tu!!
Ngoma unayoiona flop ndio imegonga 1mil view kama audio. Umewahi kuona audio inagonga 1mil view within a week? Ukiipata nitag

Kwa faida yako na wengine, statistic hazidanganyi
IMG_1043.jpg
 
myplusbee

JF-Expert Member
Jul 8, 2016
3,630
2,000
Waafrika bado tuna imani ya kitumwa kuwa ukifanya kazi na Mzungu, unapata ubora na mafanikio. Kuna uncle wangu anapiga zeze hiyo violin haioni ndani.
Hongera kwa kazi lakini.
Maoni yako yangekuwa yana mantiki endapo tu ingekuwa mara kwa mara anashirikisha hao Wazungu!!
 
myplusbee

JF-Expert Member
Jul 8, 2016
3,630
2,000
Warejee tu album yake ya kwanza na hii,nyimbo kama Chandachema,Nalia ft Chid Benz etc!!

Mwaka huu Eneka ni copy ya If ya Davido,Waka ft Rick Ross ame copy kwa Ney wa mitego wimbo wa Makuzi ambapo kama Ney wa mitego akivunja ushikaji na kushitaki anaweza mzalilisha hadi Rick Ross!!!
Hivi unajua maana ya copy wewe?! Anyway, inafahamika IF ame-sample baadhi ya beat notes! Hivi hujisikii aibu kutumia tu kiitikio cha "waka waka waka.......!" ndo useme wimbo amekopi?! Nyimbo hazifanani kwa beats, mashairi wala melody halafu unasema amekopi!!!!

Hizo mnazozisifia ni kwa sababu alizotoa kabla hajatusua lakini angezitoa leo lazima mngetafuta cha kuongea kwa sababu watu kama nyinyi allergy yenu ni kuona mtu amefanikiwa na ndio maana wala huwezi kukuta mijadala kuhusu Bombardier ya Dully Sykes!
 
gwa myetu

JF-Expert Member
Aug 18, 2014
4,395
2,000
Ngoma unayoiona flop ndio imegonga 1mil view kama audio. Umewahi kuona audio inagonga 1mil view within a week? Ukiipata nitag

Kwa faida yako na wengine, statistic hazidanganyi
View attachment 649255

Diamond anamashabiki wengi video yake au audio kusikilizwa na watu hata milioni 10 hakuifanyi iwe bora labda kuliko bombadia ya Dully sykes au Papa ya Gigymoney zenye views labda laki 2 au natamba ya Aslay hata ikiwa na view ndogo haiifanyi isiwe bora kuliko nyimbo za Diamond ambazo mashairi hovyo kabisa.

Jamaa hapo juu katia ushauri mzuri Diamond ameshakuwa mwanamziki mkubwa kama kwasasa anavyobadili madirector wa video pia abadili maproducer wa audio zake.Yaani anaimba vitu vya kitoto toto sana hadi aibu.

Simchukii ila tunamtaka abadilike ,sina kipaji cha kuimba ni shabiki tu
 
Daudi Mchambuzi

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
50,730
2,000
Wiki 3 nyimbo 3 ie Sikomi,Niache na Waka na zote flop,Wakawaka bora angeiacha tu ndani ya album kwani ni bubble gum na imeshapotea!!

Diamond ifike sehemu atafute waandishi wamtungie nyimbo,nna kama lengo lake ni kuendelea kufanya kazi na wanamziki wa kimataifa basi pia akubali kufanya kazi na maproducers wakubwa wa nje ama kwa hapa Bongo afanye kazi na Hermy B wa B Hits ama Man water,Laizer uwezo wake mdogo sana ukilinganisha na ukubwa wa diamond na kwa sasa kafikia mwisho,bbeats zake ni vikopo tu!!
Utatukanwa kila aina ya tusi.
 
kipumbwi

JF-Expert Member
Feb 3, 2015
2,355
2,000
Utatukanwa kila aina ya tusi.

Ila ukweli utabaki kuwa ukweli,aaangalie hata wenzie USA kama Usher Raymond ana studio yake lakini ikifika muda wa kufanya kazi za kurelaese anawatafuta wakina Lil John,Jermain Dupree etc,the same applicable kwq wasanii wengi sana.

Rich Mavoko namsifu kaliona tatizo la producer Laizer wa wasafi kazi zake anafanya na kina Abydad kushirikiana na S2kizy then WCB inakuja tu kama identity yao kwa kuwa yuko Wasafi management ila kuanzia nyimbo kama Kokoro,Rudi ft Patoranking na Wanakutamani alitumia producers nje ya WCB!!
 
Attachments

  • File size
    7.6 MB
    Views
    88

lukubuzo Samsis

JF-Expert Member
Nov 3, 2014
2,038
2,000
Diamond anamashabiki wengi video yake au audio kusikilizwa na watu hata milioni 10 hakuifanyi iwe bora labda kuliko bombadia ya Dully sykes au Papa ya Gigymoney zenye views labda laki 2 au natamba ya Aslay hata ikiwa na view ndogo haiifanyi isiwe bora kuliko nyimbo za Diamond ambazo mashairi hovyo kabisa.

Jamaa hapo juu katia ushauri mzuri Diamond ameshakuwa mwanamziki mkubwa kama kwasasa anavyobadili madirector wa video pia abadili maproducer wa audio zake.Yaani anaimba vitu vya kitoto toto sana hadi aibu.

Simchukii ila tunamtaka abadilike ,sina kipaji cha kuimba ni shabiki tu
vitu vya kitoto kwako kwake vikubwa.
 
Lorenzo1

JF-Expert Member
Oct 11, 2017
465
500
Wiki 3 nyimbo 3 ie Sikomi,Niache na Waka na zote flop,Wakawaka bora angeiacha tu ndani ya album kwani ni bubble gum na imeshapotea!!

Diamond ifike sehemu atafute waandishi wamtungie nyimbo,nna kama lengo lake ni kuendelea kufanya kazi na wanamziki wa kimataifa basi pia akubali kufanya kazi na maproducers wakubwa wa nje ama kwa hapa Bongo afanye kazi na Hermy B wa B Hits ama Man water,Laizer uwezo wake mdogo sana ukilinganisha na ukubwa wa diamond na kwa sasa kafikia mwisho,bbeats zake ni vikopo tu!!

Bonge la Point Aise...haswa apo kwny producer....laizer anamshusha sn diamond yn,,beat znatembea mulemule kwny nyimbo zote
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom