Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

kitu ambacho utakigundua baada ya tamko la rais kuwataka wasanii wazingatie maadili kwa uelewa mdogo tu rais aliiona video ya waka waka baada ya kusikia kafanya kazi na msanii mkubwa wa marekani
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Baada ya kusota gerezani kwa miaka 13 na miezi minne, wakitumikia kifungo cha maisha, hatimaye mwanamuziki maarufu wa muziki wa dansi nchini, Nguza Viking ‘Babu Seya’ na mwanae, Johnson Nguza...
1 Reactions
20 Replies
12K Views
Kua uwatembezee! Huku nae tiffa atakua anatembezewa
0 Reactions
63 Replies
10K Views
Mimi Deogratius Nalimi Kisandu kwa jina la kisanii naitwa 'Masqo' mwaka 2005 niliingia Studio za SEI RECORD zilizopo Kinondoni chini ya Prodyuza SEIBLAT(Said) na kurekodi wimbo wangu unaoitwa...
4 Reactions
42 Replies
5K Views
Hii video iko Ovyo sana na imekaa kishamba kweli. Mimi ni shabiki wa Diamond lakini kwa muziki huu amechemka Kabisa kuanzia kwenye wimbo na video yake haina quality hata kidogo. My brother from...
4 Reactions
57 Replies
9K Views
Ama kweli majumba makubwa hustiri mambo hii kauli kwa namna fulani inashibahiana na hali inayomkuta sasa msanii Enock Bella Huyu kijana kipindi yupo yamoto band aliwahi kutamba sana na sauti yake...
2 Reactions
122 Replies
28K Views
Leo hii mida hii nimesikiliza wimbo wa huyu mzee babu seya roho imeniuma sana pale nilipo kumbuka kwamba alifungwa kwa kosa la kunajisi watoto.pia nakumbuka jinsi kesi yake ilivyovuta wengi...
0 Reactions
168 Replies
34K Views
Hakuna ubishi kwa mwaka huu mashabiki wengi wa muziki walikuwa wanasubiria kwa hamu kuipokea album ya ‘A Boy From Tandale’ ya msanii maarufu zaidi Tanzania, Diamond Platnumz ukweli ni kwamba album...
2 Reactions
16 Replies
5K Views
Wakuu, Nimeutafuta wimbo huu mtandaoni mpaka nimechoka. Mwenye nao anisaidie kuupata. Thanks in advance.
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Maana alipokata tamaa ya kuachiwa alimkabidhi swahiba wake amuoe ili asiteseke, sasa katoka!
2 Reactions
11 Replies
3K Views
Litakuwa ni jambo la heri sana kama wasanii wa bongo watafanya wimbo wa kumshukuru Rais Magufuli kwa kuwasamehe Babu Seya na wenzake
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Hivi ulishawahi kukaa na ukafikiria kwamba utakuja kufanya copy nyingine kama ile ya wimbo unaoitwa SIWEMA? Kama bado hebu jaribu kufikiria itakuaje kama utazama studio na kuingiza vocal...
6 Reactions
59 Replies
9K Views
Nimesikia kupitia East Africa Radio kwamba hukumu ya Nguza Viking na wanae kupitiwa na jopo la majaji hapo oktoba 30/2013. Hatua hiyo imefikiwa baada ya upande wa utetezi ukiongozwa na Wakili...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kwanza pole sana Lulu kwa matatizo, Ila ili upate uhuru wa moyo na nafsi nitakuomba utulize akili umalize time yako urudi nyumbani ili watesi wako wasipate sababu ya kukunanga tena. Ila sasa...
3 Reactions
15 Replies
2K Views
Happy Birthday To The QUEEN OF NY." New Yorkers get real touchy when people decide to claim a position of royalty in the city, as they should. New York City has a rich history and on top of that...
0 Reactions
2 Replies
736 Views
Je amefika level za malengends kwenye mziki wa hip hop? Kawafunika? Nikisikiliza nyimbo zake naona jamaa anajua mno
1 Reactions
56 Replies
7K Views
Nimeamua nicompose NYIMBO about Christmas, ni nyimbo nzuri sana bt nashindwa i UPLOAD hapa,na hii ni sehemu ya kipande tu, (dancing clip promo) If anyone interested ani DM namba yake nimtumie kwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Huu ni utabiri ambao bila shaka utatimia kama sio hivi karibuni basi ni katika muda muhimu wa majeruhi ambao utawaacha watu midomo wazi na kuipa CCM sifa ya chama chenye stratejia za kuigwa barani...
8 Reactions
74 Replies
12K Views
Back
Top Bottom