Dr. Mwakyembe: Kanumba ni staa,nilifikiri kaacha mali za ajabu

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
49,208
103,782
Dk. Harrison Mwakyembe December 16, 2017 alizindua mfumo mpya wa Kieletroniki wa Utambuzi wa Wanamuziki ambao utaanza kutumika nchini kwa ajili ya kulinda maslahi ya wasanii.

Moja ya vitu ambavyo Dr. Mwakyembe amevizungumza ni kuhusu kuibiwa na kutumiwa kwa kazi za wasanii na watu wachache bila ridhaa yao “tulipotoka ni kubaya, mimi nilikuwa DRC nilichoshangaa sana nilipita sehemu nikakuta picha kubwa ya Kanumba kule ni Star, ukija hapa mi nlifikiri kaacha mali za ajabu sana,”

“Vijana wetu wana majina makubwa, mifukoni hawana kitu, mambo mengi yanaudhi ni kwenye sanaa, tutakwenda Mahakamani haiwezekani huu unyonyaji, ngoja tuondoe hii njaa ya mwanzo afu nianze kupambania mambo mengine,” – Dr. Mwakyembe
 
Kati ya maarufu na star.....maarufu anaongoza kwa kupiga deshhhhiiiiiii...angalia kina gigmoney.,jna kubwa mfuko hewa.. Dullysykes jina kubwa kipato kidogo.. Kasema mwenyewe dully...
 
KWANI WAO SI NDIO WANAWATUMIA KWENYE KAMPENI, ZIKIISHA WANAWADUMP
 
Back
Top Bottom