PonsianIsack
Member
- Dec 10, 2017
- 19
- 3
Rose Muhando Amrushia Ujumbe Magufuli
Rose Muhando Amrushia Ujumbe Magufuli
![]()
Hahahah ashazeeka huyu hana issue tena!Huyu naye tumueleweje?! Biblia inasema huwezi kutumikia mabwana wawili. Rose huku unapotea bakia hukohuko kwenye siasa watakugombania kama mpira wa kona siku moja utakuwa kama mwenzio sepetunga
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Acha kumalizia watu mb