Hivi ulishawahi kukaa na ukafikiria kwamba utakuja kufanya copy nyingine kama ile ya wimbo unaoitwa SIWEMA? Kama bado hebu jaribu kufikiria itakuaje kama utazama studio na kuingiza vocal...
Nimesikia kupitia East Africa Radio kwamba hukumu ya Nguza Viking na wanae kupitiwa na jopo la majaji hapo oktoba 30/2013.
Hatua hiyo imefikiwa baada ya upande wa utetezi ukiongozwa na Wakili...
Kwanza pole sana Lulu kwa matatizo,
Ila ili upate uhuru wa moyo na nafsi nitakuomba utulize akili umalize time yako urudi nyumbani ili watesi wako wasipate sababu ya kukunanga tena.
Ila sasa...
Happy Birthday To The QUEEN OF NY."
New Yorkers get real touchy when people decide to claim a position of royalty in the city, as they should. New York City has a rich history and on top of that...
Nimeamua nicompose NYIMBO about Christmas, ni nyimbo nzuri sana bt nashindwa i UPLOAD hapa,na hii ni sehemu ya kipande tu, (dancing clip promo)
If anyone interested ani DM namba yake nimtumie kwa...
Huu ni utabiri ambao bila shaka utatimia kama sio hivi karibuni basi ni katika muda muhimu wa majeruhi ambao utawaacha watu midomo wazi na kuipa CCM sifa ya chama chenye stratejia za kuigwa barani...
Kigogo wa wema, Clement Kiondo ‘CK akiwa bize jikoni.
NA Waandishi wetu, Risasi Jumamosi
Dar es Salaam: Upepo umebadilika! Aliyekuwa kigogo serikalini katika idara nyeti kabla ya ‘kutumbuliwa’ na...
Baada ya kuandamwa mitandaoni kuwa tangu amekuwa staa bado anaishi nyumba za kupanga maeneo ya Kijitonyama jijini Dar, staa wa filamu Bongo, Aunt Ezekiel amefungukia madai hayo kuwa wengi...
Yaani nimeanza kuperuzi Youtube tu, nikaona kitu iko kwa juu. Sasa nairudia kwa mara ya nane, nafikiri leo ndio itakuwa nyimbo yangu. Mafundi wamekutana
Kumeibuka hisia tofauti juu ya picha hii.
Wengi wamehoji kwa nini mkono umeshikilia hiyo sehemu ?Wengine wanadai kuwa jamaa ana kibamia ndio maana katumia mkono kukinga kisionekane, kwa mujibu wa...
Nlisoma maelezo ya mtu mmoja kumtaka mbunge wa chadema avunje ndoa baada ya mumewe kuhamia ccm. Nlishangaa zaidi kuona kuna watu wanaunga mkono jambo hilo.
Ndoa siku zote hubak kuwa ni...
Ingawa wengi hamjui kilichomfanya Daimond asifanye show pale mlimani lakini ukweli ni kwamba ile kolabo na Rick Ross ndiyo sababu kuu iliyomfanya Diamond asifanye show ya bure.
Diamond anataka...
Salam kwenu... Nimejaribu kuwafuatilia hawa wasafi naona wote wanavaa mkufu wenye kaalama kama ma msalaba sijui no agizo toka kwa top management. Ama kunakitu wanaabudu ama ni sare kwao... Na...
Nimekuwa namfatilia huyu msanii mda mrefu alichonishangaza zaidi kwenye hii nyimbo aliyofanya kwa akon huyu dogo ni talented sana kaimba kama wakina chrisbrown huwezi sema ni mtanzania lakini bado...
Wadau habari!
Kuna huu wimbo mpya wa Rich aisee ni mzuri sana, kwa mara ya kwanza nilivyousikia niliupuuza tu, lakini mara baada ya kusikiliza tena juzi, nimejikuta nimeukubali sana.
Nikiri tu...
habari wadau..
msanii anaeonekana ni mshindani mkubwa wa diamond ni ali kiba... na ameanza mziki zamani kabla ya diamond..
kipindi hiki nchi ina tatizo la ajira.. ali kiba alipaswa awe mmojawapo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.