Dr. Mwakyembe: Kanumba ni staa nilifikiri kaacha mali za ajabu!

Fyafyafya

Member
Nov 30, 2017
53
187
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe Juma mosi December 16, 2017 alizindua mfumo mpya wa Kieletroniki wa Utambuzi wa Wanamuziki ambao utaanza kutumika nchini kwa ajili ya kulinda maslahi ya wasanii. Moja ya vitu ambavyo Dr. Mwakyembe alivizungumza ni kuhusu kuibiwa na kutumiwa kwa kazi za wasanii na watu wachache bila wao kunufaika.

Maneno yake yaliibua msisimko pale aliposema kuwa Japo kuwa Charles Kanumba alikuwa maarufu sana hakuacha utajiri wowote! Anasema kuwa kanumba hakuwa na kitu! Maana hata baada ya kifo chake hatuoni asset zake au mali zake alizoziacha. Gari; nyumba ya kupanga na kuwa na nguo zinazojaaa mabegi 50 haimanishi wewe ni tajiri. Je ni kweli Kanumba alikuwa alikuwa akiibiw kazi zake na mapromoter?

Jamani nikweli Kanumba baada ya kifo chake ndo tunaanza kuona kuwa umarufu si kitu kama huingizi mkwanja wa maana. Maisha ya club na kwenye kio za runinga si kitu kama hujimake!

Kanumba awefunzo kwetu kuwa ukibahatika kuzikamata hizo vijisenti jamani tujiwekeze! Starehe hazina mwisho.

Kwa njia moja ama.nyingine; Mh. waziri Mwakyembe amejaribu kuwashitua wasanii wa filamu na mziki pamoja na jamii nzima ya watanzania kutumia fursa wanayoilata kwa kujiimalisha kiuchumi.

Nikweli kuna wizi mkubwa wa kazi za wasanii hivyo kudhoofisha kazi zao na mapato yao pia. Lakini kwa exposure alokuwa nayo Kanumba ilikuwa kubwa sana. Alikuwa amefikia levle zingine.

Hii hapa list nyingine ya wasanii hasa wa mziki walopata kuvuma sana na Leo na ama wapo na hawana kitu au waloshatangulia mbele za haki ila walikufa na hawakuacha kitu.

A.Walofariki.

1. Albert Mangwear
2. Y P
3. Sharo millionnaire
4. Mr. Yebo
5......

B. Waliopo

1. Mr. Nice
2. Ferooz
3. Daz Baba
4. Afande Sele
5. Chid Benz
6. TID
7. Mh. Temba
8. Chegge
9. Juma Nature
10. Mr. Blue
11. Marlow
12. 20 per Cent
13. Mb Dog
14. Matonya
15 . Bushoke
16. Young D
17. Inspecter Haroon
18. Ommy Dimpoz
19. Kassim Mganga
20. Belle 9
21. Z Anto
 
20.
Tuliokula chumvi zetu haya majina hata hatuyajui...

Hebu ngoja...
Mzee Moris Nyunyusa
Muhiddin Gurumo
Marijani Rajabu
Moshi William
Remmy Ongala

.
.
.
.
Ngoja niishie hapo nisije nikawavuruga madogo
 
Hivi hawa bongo muvi kwa sasa wanajishughulisha na nini huko mtaani na wanaishije huko mitaani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom