Wasanii wamtolea povu zito ShamsaFord baada ya kuambiwa hawamfikii kwa uzuri Irene Uwoya

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Sep 7, 2016
17,390
21,079
Wasanii wa kike wa bongo muvi wamechukia sana kauli ya Shamsa Ford baada ya kuwaambia kuwa hawamfikii kwa uzuri Irene Pancras Uwoya hata ukucha .

Kauli hiyo ya Shamsa Ford iliibua mjadala mzito kati ya bongo muvi wenyewe na mashabiki.

Wapo walioungana na kauli ya Shamsa Ford huku wengine wakipinga kwa ukali kauli hiyo kwa kudai kuwa huyo Uwoya hamfikii hata yeye (Shamsa)

Screenshot_2017-12-18-21-03-47.jpg

Baadhi ya maoni kwa washabiki View attachment 65380

Ila kweli aisee Irene ni chombo balaa
Screenshot_2017-12-18-21-18-22.jpg
 
Attachments

  • Screenshot_2017-12-18-21-15-05.jpg
    Screenshot_2017-12-18-21-15-05.jpg
    9.9 KB · Views: 72
  • Screenshot_2017-12-18-21-19-35.png
    Screenshot_2017-12-18-21-19-35.png
    24.7 KB · Views: 69
  • Screenshot_2017-12-18-21-14-44.jpg
    Screenshot_2017-12-18-21-14-44.jpg
    29.2 KB · Views: 72
  • Screenshot_2017-12-18-21-19-12.jpg
    Screenshot_2017-12-18-21-19-12.jpg
    29.9 KB · Views: 73
Irene ni mrembo! Sisemi kuliko wote ila ni mrembo(siyo uzuri)maana huo unategemea jicho lako.
 
Nimejaribu kukodoa macho na masikio sijawaona hao bongo movie waliomtolea povu shamsa, mleta mada uwe na ushahidi wa taarifa zako
 
Irene ana sura nzuri(maoni yangu) ila sio mzuri kwa ujumla kw amtazamo wangu.

Kwangu mwanamke mrembo anapaswa kua na haya yafuatayo.

1. Mkia(Hapa hata awe na sura mbaya vipi ila kama ana mkia kwangu ni mrembo)
2. Mkia.
3. Mkia.
4. Mrefu.
5. Maziwa madogo(sio mtu ana maziwa kama mitungi ya gesi)
6. Sura nzuri ya kuvutia(kama ya irene, sio mtu sura kama tikiti maji, kama fey uso kama kibakuli)
7. Mwili proportional(sio kiuno na mgongo havijulikani, tumbo kubwa)
 
Basi irene ana qualify hapo.
 
Back
Top Bottom