Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Mama wa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Sanura Kassim ‘Sandra’. Siku chache baada ya bethidei ya mjukuu wake, Latifah Nasibu ‘Tiffah’ kubuma Afrika Kusini ‘Sauz’, mama wa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Najiuliza hasa faida ya Kiba kusainiwa na timu Coast ya Tanga,hii ni dalili tosha kabisa jamaa muziki ushamshinda mana kwa vyovyote hawezi kubalance kazi zote mbili huku kambi na mazoezi ya...
5 Reactions
79 Replies
10K Views
Ni mara mia ungeendelea kubaki wcb nilichokuona wewe unatamaa ya kutoboa haraka wakati ni mvivu umejiondoa nakuona una dalili za kupotea nyimbo zote mbili ulizotoa ni mbaya unaimba kama mlevi sijui
1 Reactions
21 Replies
5K Views
Kuna mambo ya kupeana support na kuna mambo pia ya kuelezana ukweli, siko hapa kumkatisha mtu tamaa ila My Brother Mc Pilipili sanaa ya Uchekeshaji imekupiga Kanzu. Speed ya standup comedy ilipo...
62 Reactions
230 Replies
33K Views
Kuna taarifa zinasambaa kuwa darasa (C,M,G) amekuwa teja ...inasemakana hata studio aonekani ....producer wake Mr T.Touch amesema anasiku kibao aonekani studio...aisee Leo ndo nimeamin bongo...
15 Reactions
116 Replies
27K Views
Nimesikiliza East Africa Breakfast ya jumapili Leo, East Africa Radio mtangazaji anamwonya Ruby bado tunakupenda na tunakuhitaji, anamalizia kwa kusema chondechonde. Hakutaka kuweka mambo...
1 Reactions
64 Replies
11K Views
KOMBE LA DUNIA. Diamond Platnumz ameteuliwa na Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) kuwa miongoni mwa wasanii watakao perform kwenye uzinduzi wa Kombe La Dunia nchini Urusi. Vile vile,Katika kombe la...
45 Reactions
254 Replies
73K Views
Wale wapenzi wa sanaa na hasa ngoma za asili kipindi cha miaka ya 80 hadi 2000 bila shaka watamkumbuka Norbert Chenga na kikundi chake cha Muungano Dancing Troupe aliyejizolea umaarufu kutokana na...
3 Reactions
2 Replies
2K Views
Wanasema kizuri chajiuza, kibaya chajitembeza, muone Prof Hamo akijaribu kuwa Harmonise.
3 Reactions
32 Replies
6K Views
Sijui ni kiki au kutaka zawadi, maana Magu alivyobana watu wanatumia mbinu zote. Mwanadada diva ameshangaza watu baada ya kupost kuwa tarehe 15 ni siku yake kuzaliwa, ikiwa watu wanajua birthday...
0 Reactions
24 Replies
5K Views
Atageuka Baadae ila unaweza kutambua ni nani huyo? (Aliye Peku).
0 Reactions
30 Replies
6K Views
Mtangazaji wa kipindi cha Ala za Roho cha Clouds FM, Diva The Bosslady amefunguka kwa kudai kuwa katika mastaa wa muziki Alikiba ndiye msanii ambaye anatamani kudate naye. Diva ambaye kwa sasa...
4 Reactions
45 Replies
17K Views
Wana jF... Yule binti ambaye mahari yake hadi sasa ni Tsh Million 200 za kitanzania na ambaye ni mtangazaji mwenye mvuto kuliko wote hapa Tanzania leo amefanyiwa suprise ya nguvu na aliyekuwa...
16 Reactions
177 Replies
41K Views
Mtangazaji maarufu wa kituo cha Clouds FM, Diva The Bawse amedai kuwa baada ya kumwagana na aliyekuwa Boyfriend wake Heri Muziki amekuwa akipata usumbufu kutoka kwa wanaume hadi inakuwa kero...
2 Reactions
51 Replies
11K Views
Mwanadada mwenye mvuto wa kuweza kumshawishi mtu kulipa mahari ya Tsh miln 500, na anayeongoza Tanzania nzima kwa sauti nzuri ya utangazaji redioni. Leo akihojiwa na mbea sugu Sudy Brown kwenye...
0 Reactions
40 Replies
6K Views
Chanzo nguo ya Zamaradi aliovaa kwenye arobaini ya mwanae Salah. Eti inasemakana aliiba idea kwa Hamisa na akashona kwingine. Sasa na siri zingine zinafichuka wengine tulikua hatujui kwamba Zama...
31 Reactions
929 Replies
144K Views
BY Na Dk Levy IN SUMMARY Njia za Jide anapita Diamond leo, ingawa kapiga hatua nyingi zaidi ya dada yake. Advertisements Stara Thomas ni kama kaondoka, yeye yupo. Unique Sisters walitoweka...
6 Reactions
14 Replies
4K Views
Mara baada ya tajiri Aliko Dangote kutangaza kuwa umefika muda wa yeye kupata mpenzi hatimaye awe mke wake wa ndoa , wadada na mastaa wengi wa kike hapa nchini na duniani kwa ujumla wamejikuta...
0 Reactions
25 Replies
10K Views
Naelewa uwepo wa ndugu zetu ambao hamtaelewa (Mtatoka Weupe) katika mada hii. Niwaambie tu ya kwamba, Legezeni vichwa. Kuhusu topic.. Ni perfomance zipi unazielewa zaidi na ungependa wahusika...
1 Reactions
59 Replies
10K Views
Huyu jamaa kiukweli nilikuwa nasikia tu jina lake na ni msanii wa rap ila kama ingetokea tukapishana wala simjui kama ambavyo hanijui. Hata ungeniambia kaimba wimbo upi ningeshindwa kukutajia...
24 Reactions
173 Replies
20K Views
Back
Top Bottom