Diva asherekea siku ya kuzaliwa kwa mwaka mara mbili

Simara

JF-Expert Member
Oct 1, 2014
7,512
23,928
Sijui ni kiki au kutaka zawadi, maana Magu alivyobana watu wanatumia mbinu zote.

Mwanadada diva ameshangaza watu baada ya kupost kuwa tarehe 15 ni siku yake kuzaliwa, ikiwa watu wanajua birthday yake ni May. Very soon anakua kichaa, maana kila kiki anayofanya huwa inafail.
1484719175240.png
 
May ni mwezi ambao mimba ya kuzaliwa yeye ilitungwa
kihesabu mwezi may hadi January ni miezi tisa
kwa hiyo January amezaliwa inaonekana ni mzuri wa mahesabu au wazazi walitunza kumbukumbu
Mkuu basi kazi, ufanye birthday siku ya kutungwa mimba?
 
May ni mwezi ambao mimba ya kuzaliwa yeye ilitungwa
kihesabu mwezi may hadi January ni miezi tisa
kwa hiyo January amezaliwa inaonekana ni mzuri wa mahesabu au wazazi walitunza kumbukumbu
Mkuu sasa mbona zote anaziita birthday?!

au kwa kiingereza siku ya kutungwa mimba ndio Mnaita Birthday yenyewe?!
 
Anasema January ni birthday ya jina lake diva,yani ndio tarehe aliyoanza kutumia rasmi jina la diva badala la loveness alilopewa na wazazi wake...halafu may ndio siku yake ya kuzaliwa...kwa kiufupi diva anapenda kuongelewa kama hivi
 
alishawahi nitukana kule insta kipindi kile ameweka buttocks selfie. sasa mimi kukomenti nilichokiona dahh nilitukanwa utafikirri ananijua.

huyu dada ana maringo sana na kinachompa maringo, amesifiwa na kuimbwa kwenye miziki mingi. japo ni sunnah kuringa ila jamani apunguze matusi. kama wewe ni celeb inabidi upokee changamoto kisha uzitumie kama matofali ya kufika juu. mimi ni pessimist
 
Back
Top Bottom