Ni mchezo uliojaribu kuchezwa kwa ufundi kidogo lakini kama kawaida umakini ndio unafunua kila kitu wakuhusika wakuu hapa ni Kingpin Albert Bashe maandalizi ya mbali kisiasa na kujijenga.
Clouds...
Msanii Miriam Jolwa (Jini Kabula) ameonesha kukasirika sana kutokana na vifo mfululizo vya wasanii .Kabula hakusita kuvihusisha vifo hivyo na imani za kishirikina huku akitoa maneno makali kwa...
Haka kajamaa bado kanaendeleza chuki zake dhidi ya Diamond Platnumz licha ya kusainiwa WCB.
Haka kajamaa kana roho mbaya sana na hata tabasamu lake akiwa na Diamond unaona kabisa ni feki kama...
Ulimwengu wa Mitindo na mavazi umetamalaki sana siku za hivi usoni, Muda mwingine ukitaka kununua Nguo lazima uikague sana usije ukavaa ya kike ile hali wewe ni Mwanaume.
Katika pitapita zangu...
Aliyekuwa mpiga picha wa Diamond Platnumz (Kifesi) atoa ushauri kwa msanii huyo kuhusu kumuita side kid mtoto aliyezaa na mwanamitindo Hamisa Mobetto anayejulikana kwa jina la Dylan.
KWA wanamitindo wakali Bongo, Hamisa Mobeto ni moja kati ya warembo ambao wanafanya vizuri na kusumbua kwenye mitandao ya kijamii kutokana na kazi zake na skendo za hapa na pale.
Lakini kiki kubwa...
IGWEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Hayawi hayawi sasa yamekuwa! Wale mliokuwa mnapuuza movies za kibongo sasa kumbuka mdomo wazi baada ya serious...
Mtangazaji wa Ala za Roho Clouds FM Diva the bawse Usiku huu Hajalala Na Katika ukarasa Wakae wa Instagram kaamua Kufunguka Kuwa Kwa Sasa Hawezi kuzaa Kutokana Na Mirija ya Uzazi kuziba kitu...
Mwanamuziki mwenye sauti laini yenye kukonga nyoyo za mashabiki asiyekuwa na makuu kutoka mkoani kigoma anayetamba na kibao cha #yanje Omary faraji nyembo "ommy dimpoz" amethibitisha ni mgonjwa...
Aliyekuwa miss Tanzania nambari mbili Jocate Mwegelo "jojo" amefunguka kuwa kuna mtu anamtamani sana kimapenzi na anamvutia kasi kumpata
Kupitia bonge moja la show weekend "the playlist" Kidoti...
Aman iwe nanyi wapendwa
Free bob wine ni neno fupi lakin lenye maana kubwa sana kwa wasio mjua bob wine ni msanii wa kizazi kipya kutoka uganda msanii huyo ambaye pia ni mbunge wa huko uganda...
Wadau hapa JF kuna kila aina ya watu. kua kipindi nilikuwa nchi za watu nikaomba msaada wa namba za mwalimu wangu wa Secondary ambaye alishakuwa Headmaster. na nilizipata kupitia hapa hap JF na...
Mama wa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Sanura Kassim ‘Sandra’.
Siku chache baada ya bethidei ya mjukuu wake, Latifah Nasibu ‘Tiffah’ kubuma Afrika Kusini ‘Sauz’, mama wa...
Najiuliza hasa faida ya Kiba kusainiwa na timu Coast ya Tanga,hii ni dalili tosha kabisa jamaa muziki ushamshinda mana kwa vyovyote hawezi kubalance kazi zote mbili huku kambi na mazoezi ya...
Ni mara mia ungeendelea kubaki wcb nilichokuona wewe unatamaa ya kutoboa haraka wakati ni mvivu umejiondoa nakuona una dalili za kupotea nyimbo zote mbili ulizotoa ni mbaya unaimba kama mlevi sijui
Kuna mambo ya kupeana support na kuna mambo pia ya kuelezana ukweli, siko hapa kumkatisha mtu tamaa ila My Brother Mc Pilipili sanaa ya Uchekeshaji imekupiga Kanzu.
Speed ya standup comedy ilipo...
Kuna taarifa zinasambaa kuwa darasa (C,M,G) amekuwa teja ...inasemakana hata studio aonekani ....producer wake Mr T.Touch amesema anasiku kibao aonekani studio...aisee Leo ndo nimeamin bongo...
Nimesikiliza East Africa Breakfast ya jumapili Leo, East Africa Radio mtangazaji anamwonya Ruby bado tunakupenda na tunakuhitaji, anamalizia kwa kusema chondechonde. Hakutaka kuweka mambo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.