Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Wiki hii huko mitandaoni haswa Instagram kuna machafuko makubwa ambayo sababu kubwa ni madai kwamba Diamond Platnumz amewadhalilisha wanawake anaotembea nao ambao wanaosemwa haswa kwamba hilo...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Kwa habari zilizotufikia za chini ya kapeti inasemekana tayari pale madale wameshatafuta ushauri wa kisheria ni jinsi gani watamtia hatiani kijana pozi kwa pozi, Kwa kile kinachodaiwa ni post...
6 Reactions
203 Replies
33K Views
Kwa upande wangu Mbosso ni mkali kuliko Aslay ,hii ni kutokana na mashairi ya nyimbo zake anazoimba kwa mfano Nipepee,Nadekezwa,Alele' Nk: ukiangalia mashairi ambayo anaimba mbosso yamekaa ki utu...
1 Reactions
18 Replies
8K Views
Eti wananzengo mnijuze kidogo ,hivi huyu mwanadada Mange Kimambi kimemtokea nini haswa siku hizi mpaka ameanza kusapoti kazi za Diamond Platnumz?? Ninaona siku hizi analeta leta shobo sana kwa...
2 Reactions
23 Replies
8K Views
Baada ya ukimya wa Darassa na kutoonekana kabisa mahali popote taarifa nyeti na za uhakika ni kwamba msanii Darassa amefungiwa na ndugu zake kwa baba yake mkubwa Kiwalani kutokana na matumizi ya...
22 Reactions
156 Replies
24K Views
Kama inavyoonekana hapa Diamond akuamini na anaonekana kutetemeka kama mtoto mdogo aliyelezimishwa kuoga maji ya baridi saa kumi na moja alfariji na viboko juu.
3 Reactions
72 Replies
13K Views
Habarini wanaJf hivi mmeisikia ile scene ya anti. Ezekiel na Nape mi nimesikia tusi tu likimtoka Ant mwenye full details atujuze basii
0 Reactions
52 Replies
15K Views
Wadau. Roho imeniuma sana yani kama imefika hatua mpaka watu wanaogopa kwenda kwenye misiba ya wapinzani eti kisa wanamuogopa mtu mmoja. Ubaguzi wa kiitikadi unalitafuna taifa letu tusipokemea...
19 Reactions
126 Replies
15K Views
Jionee wenyewe mambo yamenogaa[emoji115] [emoji115] [emoji115] Sent using Jamii Forums mobile app
5 Reactions
459 Replies
75K Views
Taaluma ya uandishi wa habari imesababisha nipende kusoma majarida mbalimbali, magazeti, magazeti tando(blog) na habari katika mitandao ili mradi kutaka kufahamu mambo yanayoendelea ndani na nje...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Salam wakuu, Direct to the point.huyu dogo muimba kaswida WA wcb sijawahi kumkubali kabisa since day one ila kwa hii ngoma yake, nimeshawishika kidogo kuanza kumsikiliza...
0 Reactions
34 Replies
5K Views
Kulikoni Mavoko kufuta picha na kubakiza mbili tu katika instagram yake!? Nini tatizo kwani!?
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Msanii mkongwe wa muziki Ferooz Mrisho ambaye katika miaka ya 2000 alitamba na wimbo wa Starehe ambaye kwa sasa ameathirika na dawa na matumizi ya Madawa ya kulevya, amedai inamuwia vigumu...
10 Reactions
142 Replies
21K Views
Siku zote katika maisha ili ufanikiwe inapaswa uwe na moyo mkunjufu ,moyo uliojaa shukurani bila kusahau kufanya kazi kwa bidii na kuwaheshimu wale wote wanaokusaidia ili uweze kutimiza ndoto...
4 Reactions
25 Replies
4K Views
Bi.Katherinie Johnson mtaalamu wa mahesabu kutoka Taasisi ya masuala ya sayansi ya Anga NASA leo anasherhekea miaka 100 ya kuzaliwa. Huyu ndiye aliyekokotoa hesabu zilizosaidia kurusha Apolo...
37 Reactions
95 Replies
13K Views
Loh.. tucho kipaji cha kusahau watu... hadi huyu dada yetu tumemtupia kampuni... Whos next. ?.. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
46 Replies
6K Views
ushidani wa kutoa nyimbo kutoka wasafi records. Rich Mavoko malalamiko yake inaonyesha kuwa upedeleo kati ya wale wanaopewa kibao katika lebo hiyo. Rich Mavoko lazima ajiondoae kwenye lebo hiyo...
1 Reactions
33 Replies
7K Views
Mama wa Tupac amefariki usiku wa jumatatu kuamkia jumanne. Taarifa zinaeleza amekufa kwa matatizo ya moyo. ================ SAUSALITO, CA (KTVI)- The mother of legendary rapper Tupac Shakur has...
0 Reactions
69 Replies
17K Views
Yani katika ulimwengu wa fashion unaweza kustaajabu kwa mambo mengi sana ikiwemo bei za baadhi ya vitu ambavyo ukivitazama kwa jicho la mbali kamwe hauwezi kudhani kuwa vinauzwa bei mbaya sana...
1 Reactions
273 Replies
27K Views
Back
Top Bottom