Diva: Natamani sana kutoka kimapenzi na Ali Kiba

Bilionea Asigwa

JF-Expert Member
Sep 21, 2011
16,515
28,487
DIVA566.jpg

Mtangazaji wa kipindi cha Ala za Roho cha Clouds FM, Diva The Bosslady amefunguka kwa kudai kuwa katika mastaa wa muziki Alikiba ndiye msanii ambaye anatamani kudate naye.

Diva ambaye kwa sasa anatoka kimapenzi na muimbaji Heri Muziki, alikuwa host wa show ya Valentine’s Day iliyofanyika Jumatano hii katika ukumbi wa Next Door na kuhudhuriwa na mastaa mbalimbali.

Akiongea na waandishi kabla ya kwenda kusherehesha show hiyo iliyoandaliwa na Irene Uwoya, Diva alidai Alikiba ndiye msanii ambaye anatamani kudate naye.

“Alikiba ndiyo msanii au staa ambaye natakamani kudate naye,” Diva alisema baada ya kuulizwa ni staa gani ambaye anatamani kudate naye. “Sijawahi kutoka naye kimapenzi, pia sasa hivi mimi nipo kwenye mahusiano na mtu mwingine,”

Mtangazaji huyo alidai yeye wanaume wake wengi wanawapata kupitia kipindi chache la Ala za Roho ambacho uchambua mambo mbalimbali kuhusu mahusiano.

Source: Bongo5
 
Kahaba katika ubora wake. Namba za umri hazidanganyi.
 
Diva anasoma upepo wa team kiba(hawa jamaa wana matusi sana ndio maana anajiwekea nafasi nzuri ya kuwa karibu nao)
ukitaka kujua kuwa wanawake huwa ni wanafiki ebu angalia hii clip wakati Diva alipohojiwa kuhusu anavyomchukulia Alikiba ilikuwa 23/04/2015....aisee
 
Mastaa wa kibongo bhana hawana pesa lakini loh!! Km huyu anajifanya J lo wa bongo! J lo anaolewa anazaa anaacha anaolewa kwingine anazaa tena sasa wewe hata kuzaa hutaki kwani unajuwa ukizaa tu mpauko mbaya kabisa nenda na umri mama
 
Mwaka una siku 365 ukitoa weekend siku 104 kwa hesabu ya haraka ambapo vipindi vyake vinakuwa hewani na anakaribisha wageni 2 au 3 kwa wiki inamaana anauwezo wa kupata wanaume wapuuzi 104 hivi kwa upuuzi wake kweli dunia gunia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom