Diva The Bawse amtumia meseji za mahaba Aliko Dangote, asema yupo amejaa tele

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Sep 7, 2016
17,415
21,110
Mara baada ya tajiri Aliko Dangote kutangaza kuwa umefika muda wa yeye kupata mpenzi hatimaye awe mke wake wa ndoa , wadada na mastaa wengi wa kike hapa nchini na duniani kwa ujumla wamejikuta akili zimewaruka na wengi wameshaanza kuwasahau wapenzi wao na kujaribu bahati yao kwa Dangote.

Mwanadada Diva the Bawse ameshindwa kuvumilia kabisa hatimaye amekuwa akisumbuka bila mafanikio kujaribu bahati yake kwa Aliko Dangote kwa kumtumia meseji mbalimbali za mapenzi na kumuahidi yupo tayari kumpa chochote anachokitaka ili tu ile ndoto yake ya kuolewa na tajiri iweze kutimia.

Bila kusahau hapo awali Diva alikuwa akilisumbukia penzi la msakata kabumbu kutoka Brazil Neymar na kudai kuwa uzuri wa Neymar unamzuzua sana kumfanya awe chizi juu yake ,lakini kutokana na hili la Dangote, Diva ameamua kumuweka kando kwanza Neymar ili kuangalia maslahi zaidi.

20180715_151959.jpg
20180715_152125.jpg
 
Anaudharaulisha utu wake, Anaidhalilisha jinsi ya kike, Anaidhalilisha Kagera yetu.

Mbaya sana hiyo, Taifa letu linachafuliwa na upuuzi wa celebrities wachache wasiojitambua.
 
Namchukuliaga Diva kama hazmtoshi fulan hivi,na kwa m2 yeyote anayekua nae kimapenz ama kumuoa nahs atafeli sana kimaisha,yaan atakua bonge la loser...!
 
Geez. Wanawake walio wengi (si wote) umri ukishasogea ndio huwa wanakumbuka kuna kuolewa.

Huyu diva sio wa kusaka mume kwa bahati nasibu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom