Baada ya mwanamitindo Hamissa Mobetto kuachia wimbo wake uitwao madam hero nimejaribu kufuatilia kwenye redio station mbalimbali sijasikia hata moja inayoucheza wimbo huo.
Hii ni ishara mbaya...
Huyu jamaa japo hana muda mrefu kuliko hata wale wachekeshaji wa mizengwe, kwa mtazamo wangu ndiyo mchekeshaji pekee aliobaki mwenye uswezo wa kuvaa viatu vya mzee majuto.
hakuna cha
Jotii...
Hamisa Mobetto kila mara amekuwa akizungumziwa mno na kudaiwa kuwa mwanamke aliye na tabia chafu ya kulala na kuzaa na wanaume matajiri.
Kulingana na mwanamitindo huyo raia wa Tanzania...
Nchi za wenzetu raha sana kwa kweli hamna mambo ya kulazimishana mambo
Hapa kwetu mtoto anaweza akawa ana kipaji cha mpira lakini wazazi kwa makusudi wanakiua kipaji chake na kumlazimisha kusoma...
Mtoto wa mama richad kaachia ngoma mpya inayokwenda kwa jina la ngedele hii ngoma ni sumu moja mbay sana
Ninachojiuliza kwanin mavoko hapo awali hakuwahi kutoa ngoma kali kama hii why soo...
Mimi sifatilii sana celebrities wa tz lakn nampenda sana hamisa mobetto napenda physical appearance yake. natamani siku moja nije kua km yeye niwe model lakin wazaz wangu hawakubaliani na mimi kua...
Aisee, huyu dada ambae sifa zake zimejaa Tz na kuimbwa mara kwa mara kwenye miziki ya wanamziki wakubwa hapa bongo leo nimemwona live Supermarket moja msasani.
Niseme wazi bila chuki, Wema hana...
Mama watatu na mtangazaji mashuhuri wa kipindi vya mahojiano Zamaradi Mketema amesema hana mpango wa kuajiriwa kwa sasa.
Akielezea uhusiano uliopo kati yake na WASAFI amesema yeye na WASAFI ni...
Msanii wa Bongo Movie Wastara Juma, amesema kwamba kwa muda huu haitaji msaada wowote zaidi ya kumuombea dua ili aimarike kiafya.
"Nawaomba watanzania waniombee dua, kwa sasa sihitaji msaada...
Mwenye namba zake huyu binti mwenye sauti laini au ni jinsi gani naweza kuwasiliana nae anisaidie washkaji zangu.
Instagram hajibu DM na pia kama yupo humu naomba anitafute hata private
Sent...
Msanii wa bongo fleva na mjasiriamali nchini, Zuwena Mohamed maarufu kama Shishi Baby amefunguka na kudai yeye sio mtu wa kufake maisha kama baadhi ya watu wanavyomfikiria mitandaoni huku...
Kwa kipindi kirefu kumekuwa na stori za hapa na pale kuwa muigizaji wa filamu Bongo, Elizabeth Machael 'Lulu' anaolewa na Majey.
Sasa basi, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda jana August...
Waungwana nimeiona video ya wimbo mpya wa Rich Mavoko uitwao ndegele ikiwa ni wiki kadhaa baada ya yeye kujitoa WCB.
Kiukweli naona ni wimbo wa kawaida sana na asipoangalia atapotea bora ajaribu...
Aretha Franklin, mwimbaji mahiri na mashuhuri wa Marekani, amefariki dunia huko Detroit, Michigan.
Alikuwa na umri wa miaka 76.
Pumzika salama mama.
R.E.S.P.E.C.T
Wakati msanii wa Bongo Fleva, Ommy Dimpoz akiendelea na matibabu Afrika Kusini, daktari bingwa wa upasuaji wa magonjwa ya koo, masikio na pua wa Chuo Kikuu Kishiriki Muhimbili (Muhas), Godlove...
Jumamosi juzi alichukua 1.5mn za u MC akiahidi atafanya pale Danken na tena kumbe akachukua pesa zingine kuwa atahudumu kama MC kule Picolo!
Siku yenyewe alituma mtu amshike pale Danken lakini...
Mwanamuziki na mkali wa Bongo Fleva, Ommy Dimpoz ambaye yuko Afrika Kusini kwa matibabu, amewataarifu watanzania kwamba anaendelea vyema na sasa ana nafuu ijapokuwa bado anaumwa.
"Ugonjwa huu wa...
Wiki hii huko mitandaoni haswa Instagram kuna machafuko makubwa ambayo sababu kubwa ni madai kwamba Diamond Platnumz amewadhalilisha wanawake anaotembea nao ambao wanaosemwa haswa kwamba hilo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.