Nimeshtuka kuona hii Picha

Mbao za Mawe

JF-Expert Member
May 11, 2015
23,373
54,754
Ulimwengu wa Mitindo na mavazi umetamalaki sana siku za hivi usoni, Muda mwingine ukitaka kununua Nguo lazima uikague sana usije ukavaa ya kike ile hali wewe ni Mwanaume.

Katika pitapita zangu leo naifumania hii Picha ya Young Dee nimejikuta napatwa na dukuduku kwa mtindo wake wa Nywele.

Huo Msuko sio wa Kike!
FB_IMG_1533980523860.jpeg
 
Kama hoja yako vijana wa siku hizi tunaharibika.

R Kelly alisuka.

2 Pac alitoga sikio.

Usher Raymond alisuka.

Snoop Lee alisuka.

Black Skull alisuka.

T.I.D alisuka.

Dully Sykes alisuka.

Zahir Zoro nywele anaweka dawa mpaka leo.

Babu yenu sir Elton tunajua anachofanya.

Msanii akisuka huwezi ukanuna ni kazi yake inamtaka awe hivyo.

Sasa zinakuja nyuzi za kulalamika wasanii wanavaa vikuku mara wanatoboa masikio mara young d kasuka wabongo bwana tuna shida sana.
 
Weka picha yako uliyowahi kusuka.

Similar Discussions

Back
Top Bottom