Masikini Ommy Dimpozi Mungu akusimamie kaka

Dogo G

JF-Expert Member
Jul 6, 2018
1,052
440
Mwanamuziki mwenye sauti laini yenye kukonga nyoyo za mashabiki asiyekuwa na makuu kutoka mkoani kigoma anayetamba na kibao cha #yanje Omary faraji nyembo "ommy dimpoz" amethibitisha ni mgonjwa katika akaunti yake ya facebook leo asubuhi.Ameomba maombi ya mashabiki wake na wanainchi wote kwa ujumla kwa kuwa anasumbuliwa na ugonjwa wa kansa ya koo.

Mungu amfanyie wepesi kijana wetu arejee katika hali yake.

FB_IMG_15345668965853692.jpg
 
Kwa sisi mwenye iman ndogo huyu kapigwa kipapai na WCB

Naludia tena kusema kwa sisi mwenye iman ndogo na potofu

Iyo kansa ya katupiwa na WCB
Tuhuma zozote hua lazima ziwe na" ithbati" ili kuzithibitisha tuhuma hizo,yaani kuwe na ushahidi,ila kwa vile umesema ni imani basi itaendelea kua ni imani tu.
 
Kama ni Kweli Allah amfanyie wepec...maana speaking of cancer moyo huwa unaripuka na kuwa mnyonge..nikisikia mtu ana sumbuliwa na kansa...ni maradhi hatari sana kuwahi kutokea na kupona ni kwa neema tu ya Mungu tena uiwahi mapema sana kbl haijafanya damage zaidi....May allah be his healer, wengine (doctors) iwe ni sababu tu. amin
 
Amen
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom