Christiano Ronaldo, shoga wa kisirisiri kwa sababu za kibiashara

majebsmafuru

JF-Expert Member
May 1, 2017
435
1,000
Kutokana magazeti ya udaku na michezo, ni ukweli usiofichika kuwa mwanaspoti mashuhuri duniani, Christiano Ronaldo ni shoga, na yeye Ronaldo hajawahi kupinga hizi shutuma hata siku moja, zaidi ya kukaa kimya, waandishi wa habari za michezo wanadai sababu za Ronaldo kutoku "come out" au kusema ukweli huu ni hasa ni za kibiashara, ana mikataba kedekekede kila sehemu, kuanzia viatu, nguo, mafuta ya nywele, FIFA games, vifaa vya michezo na n.k.
Lakini je sisi ni nani wa kuanzia kumrushia mawe kwa kuwa shoga?! Je hii dunia itamtupa Ronaldo wa watu kisa ni shoga tu?! Wapenzi wa mpira mtaacha kumuongela Ronaldo kwa kisingizio hicho badala ya umahiri wake uwanjani?! Ni mchezaji mpira aliyejipamba na medali za kila aina kasoro za World Cup tu.
Mnaonaje wadau?!

Sources
Cristiano Ronaldo is claimed to be in gay relationship with a Moroccan kickboxer Cristiano Ronaldo is claimed to be in gay relationship with a Moroccan kickboxer Ronaldo made star of Instagram page 'Gays in Paradise' http://shr.gs/oI26kZO-kickboxer-it-has-been-sensationally-claimed-2/
Sensational claim Ronaldo is having a gay relationship with his friend Cristiano Ronaldo is 'in a gay relationship with kickboxer friend Badr Hari' | Daily Mail Online via @MailOnline
Cristiano Ronaldo Taunted to ‘Come Out of the Closet’ by Barcelona Fans: VIDEO Cristiano Ronaldo Taunted to 'Come Out of the Closet' by Barcelona Fans: VIDEO - Towleroad
 
Attachments

 • download (7).jpg
  File size
  8.2 KB
  Views
  590
 • PhotoGrid_1481430600816-300x180.jpg
  File size
  14.5 KB
  Views
  1,347
 • images (6).jpg
  File size
  9.5 KB
  Views
  859
 • download (5).jpg
  File size
  9.5 KB
  Views
  617
 • download (4).jpg
  File size
  6.3 KB
  Views
  518
 • download (3).jpg
  File size
  3.9 KB
  Views
  409

Ty_Vigilante

JF-Expert Member
Jan 19, 2015
2,737
2,000
Aaaagghhh tafadhali weee...mna utani na Real Madrid fans...say wat???"MCHICHA MWIBA" mm im out cause sina ushahidi
 
jiwekuu770

JF-Expert Member
Feb 12, 2015
2,159
2,000
Kutokana magazeti ya udaku na michezo, ni ukweli usiofichika kuwa mwanaspoti mashuhuri duniani, Christiano Ronaldo ni shoga, na yeye Ronaldo hajawahi kupinga hizi shutuma hata siku moja, zaidi ya kukaa kimya, waandishi wa habari za michezo wanadai sababu za Ronaldo kutoku "come out" au kusema ukweli huu ni hasa ni za kibiashara, ana mikataba kedekekede kila sehemu, kuanzia viatu, nguo, mafuta ya nywele, FIFA games, vifaa vya michezo na n.k.
Lakini je sisi ni nani wa kuanzia kumrushia mawe kwa kuwa shoga?! Je hii dunia itamtupa Ronaldo wa watu kisa ni shoga tu?! Wapenzi wa mpira mtaacha kumuongela Ronaldo kwa kisingizio hicho badala ya umahiri wake uwanjani?! Ni mchezaji mpira aliyejipamba na medali za kila aina kasoro za World Cup tu.
Mnaonaje wadau?!

Sources
Cristiano Ronaldo is claimed to be in gay relationship with a Moroccan kickboxer Cristiano Ronaldo is claimed to be in gay relationship with a Moroccan kickboxer Ronaldo made star of Instagram page 'Gays in Paradise' http://shr.gs/oI26kZO-kickboxer-it-has-been-sensationally-claimed-2/
Sensational claim Ronaldo is having a gay relationship with his friend Cristiano Ronaldo is 'in a gay relationship with kickboxer friend Badr Hari' | Daily Mail Online via @MailOnline
Cristiano Ronaldo Taunted to ‘Come Out of the Closet’ by Barcelona Fans: VIDEO Cristiano Ronaldo Taunted to 'Come Out of the Closet' by Barcelona Fans: VIDEO - Towleroad
Watu wambea.....duuhh ivi ni lini mtafanya kazi muachane na maneno maneno!!..
Hata hivyo ebu nikucomment!!
Kisa hajajibu shutuma ndio kweli!!.. No haina sense...wereve wanaamini Hekima ya Mwenye akili n kukaa kimya!!..

Afu kitu kingine hilo swala mi sidhan kama kuna star ambae hajawahi zushiwa!!...Watu wa hivo huwa wanapenda kuzushia star ili wajue kama n miongoni mwao ili wapate gia ya kuingilia......
Picha SAA iz zinaeditiwa na ikaonekana n kweli usiamini pic technologia imekua
 
ChamaDola

JF-Expert Member
Dec 23, 2016
3,433
2,000
Mi ninachojari,ni kuwa anaenda kushinda ballon d'or ya tano...
Na kama haitoshi mwaka kesho tunajiandaa na world cup!
Halafu miti akipigwa Ronaldo we mbongo wa huko Nanjilinji,yanakuhusu nini?
 
G Sam

JF-Expert Member
Apr 20, 2013
10,981
2,000
Mi ninachojari,ni kuwa anaenda kushinda ballon d'or ya tano...
Na kama haitoshi mwaka kesho tunajiandaa na world cup!
Halafu miti akipigwa Ronaldo we mbongo wa huko Nanjilinji,yanakuhusu nini?
Kwanini unapenda sana picha za Mkapa? Na wewe tutaanza kukufuatilia.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom