Afande Sele: Kumi Bora ya wasanii Tanzania wanatoka WCB

brave one

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
4,876
7,366
Mkongwe wa Bongo fleva afande Sele amesema Diamond platnumz hapaswi kabisa kuwahofia Clouds kwasababu anajeshi kubwa linalojitosheleza.

Afande Sele" kiukweli kwasasa ukisema uchukue wasanii Bora kumi was Tanzania wote wanatoka WCB wanahit song za kutosha wanafanya vizuri Sana, Diamond platnumz hapaswi kuwaogopa Wala kuwalamba miguu clouds kwasababu anajitosheleza".

Afande anasema kuondoa Monopoly kwenye music ni Jambo muhimu Sana kwa wasanii na anaunga mkono ujuo wa matamasha mapya.
 
Kupinga ushoga pamoja na mimba mashuleni viendane na kukemea kusupport wasanii wenye nyimbo ambazo 90% lazima utaskia kwichi kwichi , kitandani, miuno ya feni sijui nimpakie mgando

Kwani watanzania tunakwama wapi
 
"Kwenye zama za ukimwi, Kwenye Nchi Maskini
Ya pili kutoka Chini,Afande Nashangaa Hata Mungu Anakataa
Kwa Wasanii wa Nchi hii,Kuimba Ngono Kila Saa Twashangaa!!

Afande alikuwa wa zamani bhana sio huyu wa leo bangi zinamuharibu.
 
Kwani WCB ina wasanii wangapi hadi sasa ambao wanajulikana.

Asiseme na Queen Darlin nae yumo miongoni mwa hao 10.
 
Ndio maana huwa sisikilizi huu muziki wa kibongo maana umetawaliwa na majuha. Kama mtu anaimba vitu visivyoeleweka "nyege nyege" na bado anachukuliwa kama mfano wa kuwa bora, nafikiri vijana wetu (kina domo) wanasafari ndefu sana kufikia level za kina Kygo.
 
Bora huyu jamaa anajielewa siyo yule jamaa mwenye chunus nyingi uson ambaye kwao ni mwanza mwanza anayesumbuliwa na njaa
Kizazi kisicho fikirisha ubongo huamini na kufuata kila kinachosemwa na wanaowaamini na kuwapenda pasipo kutathimini wanachowaambia,
 
Afande Sele tatizo lake kubwa ni Kukosa Msimamo.

Anashindwa kusimamia anachoamini kwasababu tu ya NJAA.

Angekuwa yule wa zamani angewaponda WCB na kusema wanaimba matusi tu.
"Kwenye zama za ukimwi, Kwenye Nchi Maskini
Ya pili kutoka Chini,Afande Nashangaa Hata Mungu Anakataa
Kwa Wasanii wa Nchi hii,Kuimba Ngono Kila Saa Twashangaa!!

Afande alikuwa wa zamani bhana sio huyu wa leo bangi zinamuharibu.
 
Ndio maana huwa sisikilizi huu muziki wa kibongo maana umetawaliwa na majuha. Kama mtu anaimba vitu visivyoeleweka "nyege nyege" na bado anachukuliwa kama mfano wa kuwa bora, nafikiri vijana wetu (kina domo) wanasafari ndefu sana kufikia level za kina Kygo.
Ndio ni mfano bora wakuigwa sababu anaitetea sanaa kuliko hata hao serikali
 
Back
Top Bottom