Wasafi vs Fiesta, :Fid Q Awapiga dongo Wasafi festival "acheni ufala"

brave one

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
4,876
7,366
Joto la upinzani wa matamasha ya music kati ya fiesta na wasafi festival linazidi kupanda kiasi Kila upande unatumia aina yoyote ya promo ili mradi kuvuta watu.

Katika tangazo la clouds msanii mkongwe Fid Q ameonekanda akiwaponda wasafi kwa kuanzisha tamasha hilo
Fid Q amesema "yaani nyie mnasubiri watu wanaongoja si tufanye ndio nao wafanye afu mtulinganishe!? Acheni ufala".
kauli hii imezua mpasuko kwa mashabiki huku wangine wakiponda msanii kuchagua upande.

NB: kuongezeka kwa matamasha na ushindani ni habari njema kwa wasanii kwani kutafanya mifuko yao kutanuka, ni vyema wasanii kuwa makini namna ya kutumika ili kutofungamana na upande wowote, maana wanasema kupe hachagui damu.
Inst-image-2.jpg
 
Joto la upinzani wa matamasha ya music Kati ya fiesta na wasafi festival linazidi kupanda kiasi Kila upande unatumia Aina yoyote ya promo ili mradi kuvuta watu
Katika tangazo la clouds msanii mkongwe Fid Q ameonekanda akiwaponda wasafi kwa kuanzisha tamasha hilo
Fid Q amesema "yaani nyie mnasubiri watu wanaongoja si tufanye ndio nao wafanye afu mtulinganishe!? Acheni ufala".
Kauli hii imezua mpasuko kwa mashabiki huku wangine wakiponda msanii kuchagua upande.

NB: kuongezeka kwa matamasha na ushindani ni habari njema kwa wasanii kwani kutafanya mifuko yao kutanuka, ni vyema wasanii kuwa makini namna ya kutumika ili kutofungamana na upande wowote, maana wanasema kupe hachagui damu.View attachment 939071
Kwahiyo sisi wengine tufanyeje.?
 
Hili jamaa ka li Thaban Kamusoko
 
Fid q njaa inamsumbua.. diamond mtoto mdogo katoka juzi juzi tu ametoboa mpaka anaajiri watu.. fid q na uzee wake analilia laki 3 za fiesta.. nae anajiona fiesta kama yake.. eti sisi tufanye ? yeye nae yupo katika hao sisi wa fiesta, yeye si anatumika tu kwa kunyonywa
 
Huyu jamaa n fala... hajui hawa mamawingu watamtumia baadae watamtupa kama bigiji... amuulize ruby, konki, jay dee na wengine kibao wako wapi, yaani laki tatu tu inamfanya anyee kambi?
 
Ha
Joto la upinzani wa matamasha ya music Kati ya fiesta na wasafi festival linazidi kupanda kiasi Kila upande unatumia Aina yoyote ya promo ili mradi kuvuta watu
Katika tangazo la clouds msanii mkongwe Fid Q ameonekanda akiwaponda wasafi kwa kuanzisha tamasha hilo
Fid Q amesema "yaani nyie mnasubiri watu wanaongoja si tufanye ndio nao wafanye afu mtulinganishe!? Acheni ufala".
Kauli hii imezua mpasuko kwa mashabiki huku wangine wakiponda msanii kuchagua upande.

NB: kuongezeka kwa matamasha na ushindani ni habari njema kwa wasanii kwani kutafanya mifuko yao kutanuka, ni vyema wasanii kuwa makini namna ya kutumika ili kutofungamana na upande wowote, maana wanasema kupe hachagui damu.View attachment 939071
Haya matamasha ni upuuzi tu ,natamani yapigww tu marufua kwa maana hayana mchango wowote wa kuendeleza hawa vijana wetu wanaoshiriki kimawazo .
 
alishindwa vigezo na masharti.. mfano tunamwambia tufanye kolabo moja hataki, tunamwambia tufanye mazam kuachia ngoma hataki. unadhani tungefanya nini....
Kwanini usiseme kuwa hao wingine pia walishindwa vigezo na masharti hapo Clouds?
Kama unasema kuwa Clouds ni wanyonyaji Kwanini usiseme kwa hata hao Wasafi ni wanyonyaji pia kwa sababu wote wanafanya yaleyale tu?
 
Fid q njaa inamsumbua.. diamond mtoto mdogo katoka juzi juzi tu ametoboa mpaka anaajiri watu.. fid q na uzee wake analilia laki 3 za fiesta.. nae anajiona fiesta kama yake.. eti sisi tufanye ? yeye nae yupo katika hao sisi wa fiesta, yeye si anatumika tu kwa kunyonywa
Natamani Fid q apite hapa aione hii coment
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom