Kilele cha mashindano ya miss world kimekamilika huku Kwa africa mashariki tukifanikiwa kuwakilishwa na Uganda ambao wamefanikiwa angalau kuingia katika tano bora.
Kama Uganda wamefanikiwa...
Jamaa allikuwa ndio diamond wa kipindi kile ilikuwaje akafeli kumnyonyoa huyu kigori alikuwa anaazima hadi magari kwenda kumlia mingo huyu mlimbwende wa taifa au dada kwa kuwa ni mchaga aliona...
Kwema wakuu,
Wengi wamekuwa wakinifata inbox kuniuliza kama malipo yetu ya fiesta tumeshalipwa yote. Kiukweli bado hawajamaliza lakini wametuahidi ikifanyika Fiesta ya Dar watakuwa wamekusanya...
Draw was fair results, nilikuwa namchukulia poa Furry but kaniprove wrong. Nimegundua Wilder alikuwa anakutana na wazembe wa Marekani, Leo ndo kakutana na fundi. Kilichombeba Wilder ni zile 2...
Chid Benz
Mkali toka ILALAAAAA dah amenikumbusha mashairi ya HIT SONG Mmenisoma.
Ndani ya ngoma kuna sehemu CHUMA ana ghani.... "mwenye dawa mfukoni nyonga tumeze".[emoji15]
Pia mbele kidogo...
HABARI ZA WEEKEND WAKUU
wakubwa shikamooni na poleni na mihangaiko ya weekend twende kwenye point
kama heading inavyosomeka hapo juu....hawa nitakaowataja naona ndio maproducer(bora) ambao...
Habari members!
Wimbo mpya wa chama la wana WCB utachiwa hivi punde kuanzia saa 19:00 East Africa kuanzia sasa.
Wimbo huo unaitwa Paranáwe.
Najiuliza hili siyo tusi jipya WCB wanataka...
Kwangu mimi ili mwanamke awe sexy kitu cha kwanza lazima awe na tumbo flat. Mange Kimambi is so sexy jamani.
Tutafuteni hela wanaume ili tuweze kumiliki watoto wakali kama hawa coz my experience...
Huyu dada kwa sisi tunaomjua tunajua alivyokuwa now days anajishauwa lakini enzi hizo wakati anatoka na pingu wa alikuwa mbovu sana kipindi kile anatokea kwenye video ya Joanith kama Video Queen
Msanii wa muziki kutoka label ya WCB, Queen Darleen ameushangaza umma wa Wakenya baada ya kudai kwamba mtu akikosa kufanya mapenzi kwa muda mrefu anachanganyikiwa kabisa. Muimbaji huyo aliyasema...
Huyu sista yuko poa sana lakini sikuamini tulipokutana chocho fulani anakula kaya.
Huyu manzi yuko njema angalia paja,mtoto paja paja,hamna hata doa
angalia mkia,kalio simple kiasi.
lakini ndio...
Jamani uchawi upo. Kupitia clouds fm kipindi cha kubwa kuliko msanii Mo Music na meneja wake wamethibitisha kuwa wamepigwa mabusha na promota waliyemdhurumu. Promota makunganya aliwalipa milioni...
Habari wana JF,
Mimi kama raia mwema na mzalendo wa nchi yangu Tanzania, nimesikitishwa na VIDEO iliopostiwa na msanii WOLPER katika page yake ya Instagram ikimuonesha msanii mkubwa (Kioo cha...
Muigizaji wa Bongo movie Mrembo Irene Uwoya ametoa kauli ambayo imethibitisha kuachana kwake na mume wake staa wa Bongo fleva Dogo Janja.
Kwa mwezi sasa kumekuwa na tetesi kuwa Irene Uwoya...
Nianze kwa kutoa pongezi kwao IPP Media kwa kuwa na jicho la kipekee kabisa la kuona talanta mbalimbali kubwa kwenye utangazaji.
Kenedy alitoka East Africa redio na kwenda Clouds mwaka 2015 na...
Joseph Kusaga: ukiona redio yoyote ya vijana mimi nimo kwa namna moja ama nyingine, aitaja pia jembe ni jembe ya Mwanza.
Nadhani Joseph Kusaga amefunga mjadala wa kipumbavu.
MKURUGENZI Mtendaji...
Kiukweli huyu mtangazaji anaboa sana, na anavichekesho vinavyokera sana badala ya kuchekesha, kuna matangazo yake ya tigo clouds mara sijui mimi ni katibu wa harusi ya mwanao, mara bla bla bla...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.